ukawa2020
JF-Expert Member
- Apr 1, 2016
- 339
- 1,314
Kufuatia kifo cha Mama Mzazi wa wakili msomi Kibatala, Kifo hicho kimesababisha kusogezwa mbele kikao cha kamati kuu ya chama hicho. Sasa kikao hicho kitafanyika kesho jumapili tarehe 14.1.2018, ntawaletea update kadili zitakavyojitokeza. KIKUBWA KINASOSUBILIWA NI RIPOTI YA INTEREJENSIA YA CHADEMA, ITAKAPO TOA RIPOTI YAKE