Kumbe CHADEMA ni chama cha familia tunashukuru kwa kutujuza.Mbona na wewe kikao cha familia yenu hakiko live, mnaficha nini???.KIKAO cha CHADEMA kiko live kwa wahusika wa kikao hicho.
Warushe live uone wanavyomzodoa mwenyekiti? Wapiiiii......Wakuu mbona CHADEMA hawarushi LIVE kikao cha kamati kuu kinachoendelea Dodoma.
Watu tunataka kujua jinsi wanavyochangia humo ndani.
Ni haki yetu kidemokrasia kupata hiyo habari LIVE.
Cdhani kama ni mtanzania we we bibi!!!!, Hakuna mtanzania asiyejua kiswahili kama usivyojua wewe.Hujui hats maana ya familia!!!!!!!!.Kumbe Chadema ni chama cha familia tunashukuru kwa kutujuza.
Ritz new idHuwezi kuamini hiki chama jinsi kilivyokuwa na mvuto kipindi cha nyuma. Leo kimeishia kutoa matamko yasiyo na mvuto wala mashiko. Kweli kila chenye mwanzo kina mwisho.