Kamanda wa polisi wa jiji la Dar Simon Sirro amesema sasa hivi wanaendelea na upelezi wa makosa ya kichochezi aliyoyafanya Zitto Kabwe na upelelezi utakapokamilika watampeleka mahakamani.
Amesema hawatawavumilia watu kufanya uchochezi kwa sababu ya siasa kwa kuwa bila utulivu hakuna siasa
Uchochezi wa Zitto ni upi?
Mwalimu amewahi kufunguliwa kesi na mkoloni
Mandela amewahi kufungwa 27 years kwa makosa ya uchochezi na Ugaidi
Kumuita mtu mchochezi hakumfanyi kuwa mchochezi mpaka uchochezi huo uwepo
Msiamishe magoli baada ya kuona hamna hojaZitto alisema Kagame ni Dikteta sasa watampeleka akajibu huko Rwanda kwa mjibu wa sheria ya Rwanda udikteta wa Kagame.
Ni pale Kagame atakapo Request prosecution dhidi ya zitto ndo zitto aka prove huko Rwanda kwenye mahakama ya Rwanda.
Haki ya uhuru wa kujieleza ni ya kikatiba.Zitto alifanya upotoshaji mkubwa kwenye swala la kodi za miamala ya pesa kwenye simu na ATM, anatakiwa ajifunze kucriticize bila kupotosha.
unakijua anachotuhumiwa?Zitto alifanya upotoshaji mkubwa kwenye swala la kodi za miamala ya pesa kwenye simu na ATM, anatakiwa ajifunze kucriticize bila kupotosha.
Goli ndo hilo kwamba alitukana ama hakutukana? ndo Siro anasaka. Uhuru wa demokrasia wa kujieleza akauambie ulimwengu huko kwa court ya Rwanda, kwamba jamaa ni dikteta.Msiami
Msiamishe magoli baada ya kuona hamna hoja