Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,867
list ijayo hadi mawaziri..
Hapa nimekuelewa pale mwanzo ilikuwa kama unamzungumzia Mbowe lakini tena ikawa kama unawazungumzia hao walevi wa madaraka hao akina pauloMshauri (RC) atii MAMLAKA(WITO wa kuitwa mahakamani) wanahitajika kujibu MASHTAKA ya kulewa MADARAKA waliyopewa.
Sasa wapi hujaelewa.Ni rahisi kuchafua JINA la mtu lakini kulisafisha kuna kazi ya ziada.Hapo ina maana mpaka RAIS aliyempa madaraka naye itabidi amuwajibishe