Miaka 100 ijayo awamu hii itaandaliwa comedy show, tutasikia mengi
Mkuu Mzee wa Scandinavia....kifua ni muhimu sana,kinaficha mengi
Sio maneno kuna mpaka kideo kabisa anasemaHivi kweli mwanamme mzima,tena mtumishi wa serikali,wa ngazi ya juu,anaweza kuongea hii aibu anayoongea huyu mtu ! (Siro) au ni maneno ya mitandao ?sitaki kuamini km ilivyo.ikiwa ni kweli bac huyu nae akapimwe,lazima awe na shida sehemu ya ufahamu.Jamani ccm mnalisha nn watu wenu?kwann wanakua na lugha ziczo na tafcri wala aibu,na uchaguzi wa wapi wazitoe ? Mtt wa siro,mke,mjukuu wanajifunza nn kwa mtu wao acye na kaba wala adabu ya mdomo ? We Mungu tunusuru na janga la upungufu wa akili nchini mwetu.anapendeza gani huyu mtu kiac cha wanawake wampigie cm hata km co ucku ?kujikweza gani huku kunakomuabisha hata mbele ya shetani ?wanaume hawawi hivyo Jamani.hiini aibu ya nchi nzima Amen.