nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,615
siro anafuata amri na sio kingine....
Wakati UPI?
That's as obvious as the fact that a day follows a nightKaka muda haugandi.
That's as obvious as the fact that a day follows a night
Furaha yangu ni kuona wahuni, wakora na wavunja sheria wanawekwa mbaroniKaribu sana.Au haujapata cha kumezea furaha yako Leo??
Dah we jamaa kidogo leo hauko biased asanteSirro anatumika vibaya...Hii inaonyesha dhahiri Jeshi letu la Polis linavyo kosa weledi. hapo ni dhahiri Sirro anatumika kumchafuwa Mbowe.
Sirro Umeshindwa kumpigia Mbowe simu? au kumwandikia barua? umeshindwa kuwasiliana na Ofisi ya Bunge? au ofisi yake kule Hali..??
je kama Mbowe yupo nnje ya nnch au yupo busy hakuweza hajakuona kwenye TV ukimtaka aripoti kwako?
je watuhumiwa wengine ndivyo mnavyo waitaga polis?
pia napata ukakasi baada ya Mbowe kujisalimisha nini kitatokea....maana Club wanayo singizia ilisha fungwa....usumbufu atakao fanyiwa mbowe pamoja na udhalilishaji hii itaonyesha kabisa Visasi vinalipwa Wazi.
Mkuu umefuatilia vizuri hili sakata..kamanda hakukwepa kwenda polisi..ila walikuwa wanaomba utaratibu wa kesheria ufuatwe hilo tu nadhani.ndiyo jambo la msingi..Kwamba aliyemuita kituoni ana mamlaka hayo kisheria kulingana na kosa lenyewe..kwamba kama ni kamanda wa polisi amemuita polisi je ni sawa amuite kupitia vyombo vya habari badala ya barua ya wito..unajua mambo mengine ya nchi hii hayana logic MTU anaitwa kituo cha polisi anakwepa. Kama MTU huna kosa kuna haja gani kukwepa kwepa mpaka uonekane kwenye video unavutwa vutwa ndo uonekane jasiri. It is so shame kwa wapinzan.
Childish!Akitoka mafichoni itajulikana.lakini mpaka sasa baada ya kuzima simu na kujificha ,amekiri kosa
Furaha yangu ni kuona wahuni, wakora na wavunja sheria wanawekwa mbaroni
Kamanda ZIRRO teh teh teh aaah hatari sana.Naona Boss wa Polisi naye ameshapoteza muelekeo,naye yuko ndani ya Anti-Chadema.Mwambie tu acheze music aache blah blah.
Halafu Mwansheria kwa taaluma anatia aibu,hebu ajiangalie kama anaona hawezi ajiuzuru tu kulinda sifa yake iliyotukuka.
Itabidi tubadili jina lake SIRRO aka ZIRRO
Khaa, halafu wala hawakuja kwetu kutwambia kama walitudanganya!? Nilikua nafikiria serikali inamwonea Mbowe but kwa tamko lako hili sasa nime prove over 90% kwamba Mbowe anasakamwa!Mboan ilishkwisha hakuna cha kodi wala nini.Hoteli isiyokuwa na hata miaka mitatu unaipachika miaka mitano.Chuki na visasi havijengi.Wala havimfanyi tajiri akarudi kuwa masikini.Aliyepewa na Mungu amepewa tu
Khaa, halafu wala hawakuja kwetu kutwambia kama walitudanganya!? Nilikua nafikiria serikali inamwonea Mbowe but kwa tamk lako hili sasa nime prove over 90% kwamba Mbowe anasakamwa!
Think tank ya serikali ingekua busy kufikiria namna ya kutukwamua katika umasikini kama walivyo busy kuua upinzani hope tungekua mbali sana, sema tu kumbe wote akili tunazo but namna tunavyo zitumia ndio changamoto.
Acha maneno...Umeshawaweka ndani Makonda??Au.Mwenyekiti wa CCM??Umemuweka.ndani.Ritz ambaye ameshindwa.na madawa China au hawa ni wenzenu hawaguswi.
Ibambasi leo furaha sana cheza na ngoma.Kula Simba kunywa shangilia hakika usilale hakikisha unafikisha furaha yako.mpaka.mwisho kabisa,ila usisahau moja usipopenda kutendewa wewe usimtendee mwenzako.Na whatever goes around comes around.
Mwisho wa siku anayelia mwanza atacheka mwisho.Kaza buti furahia sana.Tena Nendeni. Lumumba afanye sherehe na kesho andamaneni kwa.furaha ya Mbowe kulala.central. Ila kila chenye mwanzo huwa na.mwisho.haijalishi mbaya au.mzuri.Hata Barabara ya Lami huwa na mwisho