Kamanda Sirro: Hadi sasa wameripoti wanne tu, ambao hawajaripoti tutawatafuta

e2c1dbe169d8099072f7a84e50016bb5.jpg
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe hataripoti bila kutoa taarifa yoyote ya hudhuru atafuatwa kwa kuwa jeshi hilo linahitaji kumhoji.

Kamanda wa kanda hiyo, Simon Sirro amesema hayo leo muda mfupi baada ya Mbowe kueleza kuwa hataripoti polisi kutokana na wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Pia Sirro amesema Askofu wa Kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima na Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji walilala polisi kwa kuwa bado upelelezi dhidi yao unaendelea.

"Operesheni ya dawa za kulevya bado inaendelea na kuanzia sasa hatutaruhusu mkusanyiko wa wananchi karibu na kituo cha polisi hiki watakaoonekana watashughulikiwa Kamishna Sirro kwa kuwa tayari nimeshatoa taarifa."

Chanzo: Mwananchi

Sirro Aache maigizo yeye alituhumiwa na Makonda kuhusu shisha kuwa alipewa zile mil 5 vipi uchunguzi tulioahidiwa au alivuta hizo mil 5? ajibu kwanza tuhuma zake asishupalie wengine wakati yeye ni mtuhumiwa
 
Makonda alikuwa anatoa kauli kama hizi ''Kaka yangu Manji namuhitaji siku ya Ijumaa niongee nae''. Huyu Sirro anakuja na mpya tena. Makonda si police. Hawa akina Sirro sasa wanapaswa kuchukua hatua na watimize wajibu wao
Mkuu hata mm xkutegemea kusikia kauli hiyo maana yy co aliyemwita nivema yy kama yy angemuita alafu akaangalia je mbowe kakaidi wito wake aah zote kiki
 
e2c1dbe169d8099072f7a84e50016bb5.jpg
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe hataripoti bila kutoa taarifa yoyote ya hudhuru atafuatwa kwa kuwa jeshi hilo linahitaji kumhoji.

Kamanda wa kanda hiyo, Simon Sirro amesema hayo leo muda mfupi baada ya Mbowe kueleza kuwa hataripoti polisi kutokana na wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Pia Sirro amesema Askofu wa Kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima na Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji walilala polisi kwa kuwa bado upelelezi dhidi yao unaendelea.

"Operesheni ya dawa za kulevya bado inaendelea na kuanzia sasa hatutaruhusu mkusanyiko wa wananchi karibu na kituo cha polisi hiki watakaoonekana watashughulikiwa Kamishna Sirro kwa kuwa tayari nimeshatoa taarifa."

Chanzo: Mwananchi
Anajibizana na wanasiasa?
 
Kamanda Mbowe kumbe nae muoga wa kukaa selo kama kamanda Lissu.
Katika viongozi wa upinzani ambae haogopi selo ni Sefu na lipumba,wengine wanawahi kuomba dhamana,kabla ya kujua shtaka kama Tundu Lissu hovyo kabisa
 
e2c1dbe169d8099072f7a84e50016bb5.jpg
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe hataripoti bila kutoa taarifa yoyote ya hudhuru atafuatwa kwa kuwa jeshi hilo linahitaji kumhoji.

Kamanda wa kanda hiyo, Simon Sirro amesema hayo leo muda mfupi baada ya Mbowe kueleza kuwa hataripoti polisi kutokana na wito wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.

Pia Sirro amesema Askofu wa Kanisa la ufufuo na Uzima Josephat Gwajima na Mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji walilala polisi kwa kuwa bado upelelezi dhidi yao unaendelea.

"Operesheni ya dawa za kulevya bado inaendelea na kuanzia sasa hatutaruhusu mkusanyiko wa wananchi karibu na kituo cha polisi hiki watakaoonekana watashughulikiwa Kamishna Sirro kwa kuwa tayari nimeshatoa taarifa."

Chanzo: Mwananchi
Dah mpaka namuoneka huruma basi afanyeje ndo matakwa yao...
 
Back
Top Bottom