kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,615
- 23,071
- Thread starter
- #21
Hilo ni la msingi kabisa lakini hajui ashike lipi sasa maana ashaanza kuyarudia yale aliokwisha yafanya juzi kafanya ziara bandarini tena ni dalili ya kuchanganyikiwaHalafu eti "NCHI YA VIWANDA" wakati nchi haina mission wala vision.
Ningekutana na pombe ningemuuliza aniambie falsafa ya nchi yetu kwa sasa.