Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,401
- 8,106
Yah, logic iko wapi? Kwa maana mpka sasa ina maana Gambia haina Raisi halali kwa mujibu wa Wazungu na watumwa wao, na ndiyo maana wameamua kuivamia, sasa kwa nini wasimkamate ili kuokoa maisha ya watu kama Jeshi linalomlinda limeshakataa kutii Amri yake?
nani kakuambia rais hulindwa na jeshi?! au hukusikia mapigano baina ya jeshi na vikosi vya kumlinda rais kule burkina faso?! hata US ili umkamate trump lazima kinuke kati SS vs mkamataji hata kama ni Army. askari yeyote ukitoa mpambe wa rais hawazi kuingia pale magogoni bila ruksa ya wa wale TISS kikosi cha kumlinda rais.