Uchaguzi 2020 Kama Vyombo vya Habari vitaendelea kufanya hivi, CHADEMA Ikulu itakuwa ni ndoto

Wala usiwe na hofu bora kwenda kusikiliza kwenye mikutano kuliko kusikiliza kwenye hizo radio na TV ambapo unasikilizishwa ama kuangalia anacho taka mwandishi wa habari sisi tunaangalia habari za wapinzani kwenye Yutube live ama baadae
 
Sidhan kama kuna chombo cha habar kimrtangaza kuwa cdm watakuwa na mkutano sehemu fulan ilq unashangaa watu wanajaaa hadi kumwagikia,jua dunia imekuwa kama kijj,ss iv mambo yote unayapatia kweny cm yako tu,media za ss iv zpo taaban baada ya kuletewa sheria ngum,kwa hyo mbadala upo kwny cm tu
 
Hio ni chuki na sio siasa. Siasa za uchaguzi ni jinsi gani unavyouza sera na utafanya nini.
Vyombo vya habari vimebanwa na matisho ya Dr Hassan Abbas na TCRA.

Hata leo Radio One baada ya kurusha kipindi cha mahojiano na Lissu wamepewa onyo taarifa tunazo.
 
Wala usiwe na hofu bora kwenda kusikiliza kwenye mikutano kuliko kusikiliza kwenye hizo radio na TV ambapo unasikilizishwa ama kuangalia anacho taka mwandishi wa habari

Wanasema wanazuia taharuki dhidi ya maneno makali ya wapinzani
 
Sidhan kama kuna chombo cha habar kimrtangaza kuwa cdm watakuwa na mkutano sehemu fulan ilq unashangaa watu wanajaaa hadi kumwagikia,jua dunia imekuwa kama kijj,ss iv mambo yote unayapatia kweny cm yako tu,media za ss iv zpo taaban baada ya kuletewa sheria ngum,kwa hyo mbadala upo kwny cm tu

Vipi kwa wasio na simu plus access ya internet?
 
Vyombo vya habari vimebanwa na matisho ya Dr Hassan Abbas na TCRA.

Hata leo Radio One baada ya kurusha kipindi cha mahojiano na Lissu wamepewa onyo taarifa tunazo.

Ukiweka hapa tutapata mwanga zaidi
 
Mpk leo unaamini kuwa vyombo vya hbr zinaweza kukuingiza ikulu??? Wkt tunanyimwa kurushiwa mikutano yetu sisi tumejipanga kivingine , October watashangaa na roho zao ..wee angalia mikutano yetu haina matangazo wala wasanii lkn tunajaza nyomi mikutano yetu
 
Yangu macho
 
Kampeni hubadilisha upepo pia
Nakubaliana na wewe mtoa mada lakini vyombo vya habari siyo kwamba havitaki kurusha habari za vyama vingine lakini vimetishwa.

Magazeti ya vyama binafsi yamefungiwa na vyombo unaogopa kupelekewa makadirio ya kodi na kufungiwa kama walivyofanya clouds.

Waandishi binafsi wanahofia maisha yao wakifikiria yaliyomkuta Azory Gwanda na wenzake.

Imagine leo alikopita Magufuli bendera za vyama vingine zimeondolewa usiku na green guard kwa kushirikiana na polisi.
 
Mda ushafika na upinzani tunajua njama zenu vyombo vya habari na vyombo vya dola ,kwa zama hizi kuzuia upinzani ni sawa na kuzuia risasi kwa mikono ,vyombo vya habari vionyeshe au visionyeshe upinzani haisaidii simu za watu na mitandao ya jamii ni vyombo tosha vya habari
 
Nakubaliana na wewe mtoa mada lakini vyombo vya habari siyo kwamba havitaki kurusha habari za vyama vingine lakini vimetishwa.

Magazeti ya vyama binafsi yamefungiwa na vyombo unaogopa kupelekewa makadirio ya kodi na kufungiwa kama walivyofanya clouds.

Waandishi binafsi wanahofia maisha yao wakifikiria yaliyomkuta Azory Gwanda na wenzake.

Imagine leo alikopita Magufuli bendera za vyama vingine zimeondolewa usiku na green guard kwa kushirikiana na polisi.

Hii ni hatari sasa
 
Hao wananchi watz watadanganywa na propaganda za vyombo vya habari kuwa mambo Safi wakati wanakula mlo mmoja

Nikupe historia kidogo
Mwaka 1958 wakati wa mkoloni Tanu ilijitanua nchi nzima hakukuwa na radio, tv Wala wasap, ilikuwa Ni Kama uhaini kujiunga na Tanu kwa harakati za kudai uhuru, Kama ilivyo Sasa awamu hii

Tanu ilishindwa viti vingi, ikapelekea mwaka 1961 mkoloni akakubali kuachia nchi bila kupenda

Dogo historia itajirudia mwaka huu
 
Maisha yakiwa maguuuuumu kula shida sidhani kams utahitaji tena kusikiliza kupitia media.

CCM haijawanyoisha bado, ipeni miaka 10 mbele kila mtu atakuwa hoiiii.

Mabadiliko yataletwa na watanzania siyo vyama vya siasa.
Ccm kwa sasa ishakata kata hata gesi imegoma
tapatalk_1593965156914.jpg
 
Hii ni hatari sasa
Siyo ndogo ni kubwa sana mkuu sasa hivi vyombo vya habari vimelazimika kupiga bongo fleva tu vikibadili sana ni kumsifu mkuu.

Tuliwaambia chadema wahakikishe wanarecord mikutano yao ya kampeni wawe wanasambaza audios mbali mbali kwa watu maana vyombo vya habari vimelazimishwa kutokuwatangaza.
 
Back
Top Bottom