Inkoskaz
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 6,371
- 2,378
Jamani mbona hata SASATEL wanazo hizo EV-DO modems with same throughput!
Hao Sasatel wapo dar tu sasa wakina katavi wataitumiaje huko?
Jamani mbona hata SASATEL wanazo hizo EV-DO modems with same throughput!
Mkuu, hiyo unlimited ya vodacom ni bei gani kwa mwezi, na je modem unayotumia ni aina gani? Ina uwezo wake wa speed ni kiasi gani?
mkuu wewe unapateje 84kbs wakati vodacom wanasema "Internet Bomba offers UNLIMITED data usage with best effort speeds of upto 64kbps"
Vodacom Tanzania - Products & Services/Vodacom Internet/Internet Bomba/internet bomba
na hapa unaposema inategemeana na aina ya modem. nononooooo. modem nyingi sasaivi zina speed 3.6mbps na 7.2mbps. hakuna mtandao wowote hapa TZ unaotoa download speed inayozidi 3.6mbps. kwahiyo mwenye ya 7.2mbps na 3.6mbps watapata chini ya 3.6mbps. ni sawa uwe na Amplifier ya music yenye 20watts halafu una loaudspeakers za 1000watts utegemee spika zitatema 1000watts.
huwa nunua UNLIMITED ya 30 days kwa 30,000/=, moderm yangu ni ya kawaida 2 bt ina uwezo wa 7.2mb ambapo nafahamu fika kabisa voda uwezo wao ni 1.2mb/s, bt ukiwa na unlocked modem then uka2mia windows connect to run internet apart 4rm the modem setup itakuwa ina run up to 64kbs, na unapo2mia torrent inauwezo wa ku boost above that 64kbs/s
hakuna modems za vodacom, zain , MTN , wala safaricom. zote zinakuwa na manufactures names eg ZTE, Huawei, na models tofauti eg E1750. hiyo ya mtn 12mbps ni make ya wapi? na model gani? au ulikuwa unamaanisha 14mbps maana ikitoka 7.2 ni 14.4mbps huwa zinakwenda kwa mtiririko huu. 1.8mbps,3.6mbps,7.2mbps na mwaka huu july imetoka 14.4mbps ambayo iko bado haijaingia sana kwenye market. kwa mahesabu nafriki wanazidisha hiyo 1.8mbps na 2/3/4/5/6...... mmmmmh lakini inawezeka maana 1.8mbps x 7 unapata 12.6mbpskaka kuna modem nyingine ni 7.2mb bt hazina powerful connection, nimewah kuona modem ya MTN yenye uwezo wa ku run mpaka 12mbs, thats the best modem na m2 anaeitumia kwa tz anapata acces zaidi ya hyo 64kbs, na hata hizi 7.2mbs kama ni unlocked na upo ktk position yenye powerful connectn, mf. Dar city center , mwanza town capacity ya 3g connection inakuwa kubwa na uwezo wakufikia 84kbs ni rahc, bt endapo unatumia torrents,
Ni mtandao gani Zain au Voda na modem zao wanauzaje?
Samahani kwa maswali mengi.
Ni mtandao gani Zain au Voda na modem zao wanauzaje?
Samahani kwa maswali mengi.
chukua modem yoyote ile iwe wanatoa vodacom, zain, mtn, safaricom, then una unlock ikiwa unlocked then unaweza tumia line yeyote ile ya GSM. unachagua tu mwenyewe maana hawa jamaa bwana leo huyu mzuri, kesho anakuwa mbaya.
natumia VODA, ila kwa sasa cjui bei zao, bt nahsi wanauza elf 55 au 60. Ila unaweza kununua moderm yoyote ile then uka unlock ukawa unatumia kwa line zote.
Hii iko powah saan calvinn.nimeweka tutorial kwa wale wanaotaka ku-unlock modems za vodafone k3565-Z products za ZTE
nimeweka tutorial kwa wale wanaotaka ku-unlock modems za vodafone k3565-Z products za ZTE
Nina unlocked modem Huawei yenye download speed inayofika 7.2Mbps. ofkoz mitandao yetu haifikishi download sleed hiyo. Sanasana kunabaadhi ya sehemu (mijini) Vodacom / AirTel watafikisha 1.7Mbps HSDPA ( High-Speed Downlink Packet Access ) Hii haina tofauti na ile modem ya ttcl wanayotumia kwenye landline ADSL (Asymmetric Digital Subscriber Line), Ni kweli kuwa kila mtu anatumia internet kwa shughuli tofauti. Yupo anaesoma tu emails, mpaka anae download DiVx Movies na kadhalika tatizo linakuja kwenye coverage ambayo unaweza pata hiyooo HSDPA. Kama hakuna signal za HSDPA basi utapata GPRS signals 10kbps ikipanda saana ni 30kbps ambazo download speed au hata kufungua internet page ni slow sana. kunawakati inashuka below 10kbps. epuka kitu inaitwa unlimited ndio hii speed utapewa Ni bora uwe na weak signal strength za HSDPA kuliko kuwa na full signal strength za GPRS. Ninachotaka kueleza hapa ni kuwa HSDPA coverage iwe ni Vodacom au AirTel inategemeana na sehemu ulipo. Na ukipata weak signa za HSDPA then jibane hapohapo kwa kufuata utaratibu huu (mobile partner dashboard) nenda kwenye: Tools:> Options:> , Network:> kwenye Network type chagua WCDMA only ili isiruke kwenda high signals za GPRS. Kama Modem yako ni unlocked, basi unaweza kuwa na line mbili ya Vodacom na AirTel na kama iko locked basi fuata hii link ili upate free unlock codes
https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/86955-free-huawei-modem-unlocking-codes-request.html
halafu unachagua data plan kulingana na mahitaji yako.
Airtel wao wanakupa
400mb kwa shilingi 2500/- na ni speed ya HSDPA.( ina expire baada mwezi )
15Gb kwa shilingi 15000/- na ni speed ya HSDPA. (ina expire baada ya wiki)
Vodacom wanakupa
50mb kwa shilingi 2000/- na ni speed ya HSDPA (ina expire baada ya mwezi)
3Gb kwa shilingi 90,000/- na ni speed ya HSDPA (ina expire baada ya miezi 3)
Zipo plan nyingi tu ila epuka kitu UNLIMITED.
roh sorry ni 3gb kwa 15000/ niliandika thread hii usiku sana saa kumi kasoro, nilikuwa na download "ze lion king" kuna ambao wanasema hawaelewi nilichokuwa naelezea sorry kazi ya uandishi inawenyewe wanakupangia maelezo yaliyonyooka. mimi Im not good in it.