Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa neema na fadhili zako dhambi zetu sote uzisamehe huruma yako utuangazie usituache tunapohitaji msaada wako. Utubariki katika dunia hii na ile ijayo.
Kwakuwa ufalme ni wako na nguvu na utukufu hata milele, Amen.
 
Kama unapenda mwenyezi Mungu usipite hapa bila kulike hii thread na kucomment "Asante Mungu"
Kumpenda Mungu kunaonyeshwa kwa matendo unayofanya na siyo maneno unayosema au kuandika. Tanzania ukisikia watu wanavyotaja jina la Mungu na ku-like mambo yanayohusu Mungu utadhani ukija utaingia nchi ambayo ina raia wamefanana na malaika. Kumbe dhambi zote ndiyo zainazaliwa hapa.
 
Back
Top Bottom