nguzo1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 349
- 542
Mimi nimekupenda hivyo hivyo jinsi ulivyo... Ukinenepa tu nakuacha.Ebu niongeze kula mahamburger na mapizza!!! Kumbe wapo watakaonipenda pia!!!
Niache kujinyima mieeee!!!
Mimi nimekupenda hivyo hivyo jinsi ulivyo... Ukinenepa tu nakuacha.Ebu niongeze kula mahamburger na mapizza!!! Kumbe wapo watakaonipenda pia!!!
Niache kujinyima mieeee!!!
Eti wananuka acha matusi!!!
Wanakua na sehemu nyingi za mwili zilizojificha, hazipumui na kusababisha uvundo.
Inabidi awe msafi sana.
sasa kama huyu akikukumbatia si anakuficha kabisa! na kama ulikuwa unataka joto uta sweat ndani ya mkumbato
Unakuta mwanamke ana tako kama ka mtoto mdogo.
Mimi nimekupenda hivyo hivyo jinsi ulivyo... Ukinenepa tu nakuacha.
Mpka anuke haogi au ananukaje acha uongo bwana ukiona ananuka huyo mwanafunzi si mwanamke anayejitambuamkuu wengi wananuka me nakwambia ukweli tena usiombe umkute ananuka mdomo utajuta..
wembamba wanono bhana
We niache!! Si ntaenda kwa mleta uzi!!!Mimi nimekupenda hivyo hivyo jinsi ulivyo... Ukinenepa tu nakuacha.
Sa mdomo na mwili kua mnene vinahusiana nini? Huyo ni mchafu tu ata angekua mwembamba bado angenuka mdomomkuu wengi wananuka me nakwambia ukweli tena usiombe umkute ananuka mdomo utajuta..
wembamba wanono bhana
Daah hapo dushe haliwezi kusimama.
...akiii this s too much
Body Goals!!!
Ghaajk...Ndugu yao huyu hapa!!!
View attachment 485556
Nilikua na kwikwi ila nimecheka mpaka ikakataGhaajk...
Anaumbo kama tangawizi
Nilikua na kwikwi ila nimecheka mpaka ikakata