Kama unaingiza faida ya Tsh. 30,000 na kuendelea kwa siku pita hapa

Niliwahi kuwaza kuwa;
Unaenda kwa mama ntilie na laki moja unaongea nae umpe laki moja ili aongeze mtaji na kuboresha huduma... Ila ww unachotaka ni hela ya sahani moja tu kila cku (1500 mpka 2000) ndani ya mwaka mmoja...kwa mwez una 45,000/= or 60,000/= kwa mwaka una 540,000/= au 720,000/=
Sasa tufanye una milion moja.... Zungusha kwa watu kumi, jumla kwa mwaka unakusanya 5,400,000/= au 7,200,000/=
Then unafungua mghahawa wako... Huku unaendelea kununua sahani kwa akina mama..
Bro, yaani laki 1 yako ndo umpune mama wa watu 2,000 kwa siku 360?
Hii ni mara 100 akakope kausha damu.
 
Duuh kweli ubepari na ubinadamu havichangamani kbsa...hata sheria itakuruhusu kweli ikitokea mkapishana huko mbele mbna riba ni kubwa x10 wapi inaruhusiwa hyo
 
Hapa unaongelea wasomi kuamini kuwepo kwa uchawi au unaongelea wasomi ku-practice uchawi.

Uchawi upo, practice is an option. Huko kwenu hujawahi sikia watu wamerogwa na kufa? hata neno gamboshi hujawahi kulisikia au ndo huko kusema hutaki kuamini ukiwa online ila ukienda zako kitaa unafanya.
sure behind keyboard kila mtu anajua anachofanya especially hapo katika kuomba na kuroga maana uzito wake huja giza likishaingia....
 
Naombeni msaada nawezaje kuingiza 30,000 kilasiku hapa mjini Dar es salaam.

Nataman kuwa mwanamke tajiri siku moja.

Nimepambana mwaka 1 na miezi 6 nimeweza kupata 2mil.

Sasa hii natakiwa kuifanya mtaji.

Kwahyo biashara gani nikiifanya naweza kuingiza faida 30k perday?
Fungua kijiwe cha pombe,nyama choma,kongolo,supu.Utakuja kunishukuru.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom