MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,444
- 10,687
hahahahaha nimecheka !wenzenu mataifa yaliyoendelea wanapambana usiku na mchana kujenga uchumi eti sisi tunalilia demokrasia. itatusaidia nini. tumedanganywa na wazungu tumeingia kichwakichwa na sasa tunajifanya sisi ndio walimu wa demokrasia. nani aniambiekama tunajenga hiyo nitoleeni mfano wa chama cha siasa hapa nchini ambacho ni role model au mfano wa kuigwa kwa kufuata misingi yake. kama hakuna basi demokrasia haina umuhimu na inatupotezea muda. ndio maana hata China waliamua kuizikilia mbali na kuwwka sheria kali za kutengeneza nidhamu.basi. na hii style naona ndio Magufuli anaifuata. ulinza kama China walishawahi kuwa na bunge la katiba. tunatoa mfano wa China kwa sababu ilikuwa katika misingi ambayo sisi tulikuwepo lakini wako mbali kule hatuwe kuwafikia
Kama tulikuwa na misingi kama ya china lakini bado masikini tatizo siyo misingi ila chama kinachotawala ndiyo tatizo