Mwanasayansi Kalivubha
Senior Member
- Feb 4, 2024
- 104
- 271
KAMA UNA SIFA HIZI BASI HUWEZI KUTEGEMEWA, HAIRISHA HATA KUWA NA FAMILIA 😔
1. Kila changamoto inakuliza na kukuumiza.
2. Mtu wa kulalamika tu.
3. Unaishi kijanja janja kukwepa majukumu.
4. Hutaki kuwajibika kwa makosa yako.
5. Mtu wa kususa hovyo.
6. Unajitetea sana
7. Bado una utoto wa kutaka kila kitu upate kwa wakati.
8. Huna siri.
9. Vijiweni muda mwingi na huna cha maana huko.
10. Bado unajifariji kwa kauli za " MAISHA NDIO HAYA HAYA"
Helo Aprili, robo ya kwanza ya mwaka 😊
Mwanasayansi Saul kalivubha.
Fikia Ndoto zako.