Kama una povu naleta nguo.

Kuna watu wanatema povu halafu wananuka mdomo balaah...Hizo nguo sijui kama utarudia kuzivaa baada ya kutemewa mapovu na wanasiasa uchwara wa JF!
Nasikia na shilawadu walisema na wanuka midomo wapo
Nimegundua wanaopenda kutoa povu wengi ni akina bashite mdomoni
 
Back
Top Bottom