Kama una android pita hapa

Nimeweka sasa direct download link automatic, haikupeleki tena dropbox, sasa hivi ukiclick tu inaanza moja kwa moja kudowload
Dah....iko vzr aisee Ila ttzo nikiCLick kwenye comedians list haiji.....na bahat yko usingeweka Lupela ningeUnistall(kidding)
 
Bila kusahau SEARCH ENGINE naona haipo ili kumpa mtumiaji urahisi wa kutafuta nyimbo anayotaka ili aweze kuweka kwenye playlist
 
Moja kati ya app tamu kabisaa nimeplay unconditionally bae na kasaut ka kiba nmefurah ongeza mambo aiseee may almight god bless you
 
Good job, Mimi sio mpezi wamizic na komedies kivile. But nimefollow link ili nione mswahili mwenzetu amefanya nini? Good job, endelea kupiga kazi,vijana wengine wasomi mliosomea info tech, wekeni elimu yenu katika vitendo. Itawalipa sana very soon!
 
Back
Top Bottom