Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 2,702
- 7,702
Ndugu zangu,
Huu sio wito au propaganda ya dini.
Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako.
Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo.
Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF akisema kuwa mambo ya biashara yalimwendea vibaya sana. Alihangaika sana kwa waganga na visomo hakuna mafanikio. Ndio jamaa mmoja akamwambia kuwa omba pia utoe sadaka kupitia msikitini ile ya kusaidia masikini. Alifanya hivyo. Jamaa alisema alishangaa mambo yanaanza kumnyokea kirahisi sana.
Ni muda muafaka sasa badala ya kwenda kutumikia madhabahu kwingine inabidi sasa uilete hio madhabahu kwako na umwambie Mungu sasa naomba unisikie mimi kama mimi.
Basi fanya hivi na hakika tutapeana ushuhuda:
Tambua unaweza kuwa unaishi maagano ya vizazi na vizazi kupelekea ku-block baraka za Mungu kwako ndio maana kuna tabu zinakutesa vibaya sana.
Kuna laana za kujiletea kutokana na matendo yako e.g kusex na mtoto wa bamdogo wako, laana za mahali ulipoamia, giza la ushirikina maishani mwako, e.t.c
Basi unachotakiwa kufanya kwa ajili ya kuondoa tatizo sugu ni wewe mwenyewe kuamua kumlimlia Mungu kwa kiwango ambacho haujawahi kumlilia.
Kama uliwahi kufunga siku mbili, fanya siku nne au saba.
Kama uliwahi kuomba kwa wiki omba kwa siku 40 huku ukijotoa katia raha za dunia kama sex, vileo na hanasa nyingine.
Tengeneza plan hata ya kuomba siku 50 huku ukiamka usiku wa manane ukiomba.
Ukishamaliza maombi yangu andaa sadaka ya shukrani kuwa Mungu amekusikia. Uiombee na Uitoe kwa namna yoyote na uwezo wako.
NI hayo tu ndugu zangu, meingine mnaweza kufanya research zaidi.