Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

angali star gate
 
nakumbuka juzi tu tulikuwa tunatimiza miaka 16 sisi ,LOSTIES ,ya show tangia ianze





mkuu hili dude utalitafuta tu, show ambazo zina bebwa na hype ni za NETFLIX nyingi alafu unakuta hakina cha msingi zaidi ya issue LGBT
 
Hizo ni mind twisting movies tunaziangalia wachache sana...hao mdogo wapenda kina avengers huwezi wakuta wakiziangalia kabisaa
Huyo aliyetengeneza Inception na interstellar yaani Christopher nolan ndio ametengeneza batman dark night franchise ambayo haina tofauti na avengers sababu yenyewe imebase kwenye comic books za DC ambao ndio wapinzani wakubwa wa marvel watengenezaji avengers.


Avengers imengoza kwenye box office kwa kupiga zaid ya 5 trillions za kitanzania hiyo ni sababu tosha kusema sio movie za watoto bali ni creativity na genre fulani ya movie.
 
Uzuri zaidi wa lost wale jamaa waliinvest kwenye story,hakuna sex scenes za ovyo ovyo au ishu za mashoga kama series za sikuhizi.
Kwahiyo una weza cheki hata na mdogo wako wa miaka 2 bila kuforward.


4815162342
Hizi namba ulizoandika nazo Nikisanga..
Series Kama Got na Lost Ni vizuri ukawa na subtitles..
 
Hizi namba ulizoandika nazo Nikisanga..
Series Kama Got na Lost Ni vizuri ukawa na subtitles..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…