Kama uliwahi kuisifia series ya LOST njoo hapa

Kama uliwahi kuisifia series hii inayoitwa Lost humu JF njoo pm nikuchape vibao.
Kuna watu wanaingizana mkenge humu, Wanakisifia kitu ila ukitizama ni uchafu mtupu. J.J.Abrams ni moja ya Director na Creators mzuri ninayemkubali baada ya Russo Brothers,David Cameron,Mel Gibson,Zack Snyder,D.Weiss&D Benioff ila kwa hii series Kaniangusha sana.
Mlio isifia hii series hongereni kwa kunipotezea muda!!

Uliyenishauri kutizama G.OT Ahsante sana..nitakusifu siku zote.

Haya niambieni kati ya Last Ship na Viking niangalie ipi?
angali star gate
 
nakumbuka juzi tu tulikuwa tunatimiza miaka 16 sisi ,LOSTIES ,ya show tangia ianze


tv_lost0620.jpg
247WallSt.com-247WS-576849-lost-show.jpg
how_to_watch_lost_in_the_uk_us_and_abroad_.jpg
lostfinale-theend.jpg
000232232-2000.jpg
31fa6c647d3d40d5276e7f6181de7b0464751a8d.png
lost-ss2_0.jpg



mkuu hili dude utalitafuta tu, show ambazo zina bebwa na hype ni za NETFLIX nyingi alafu unakuta hakina cha msingi zaidi ya issue LGBT
 
Hizo ni mind twisting movies tunaziangalia wachache sana...hao mdogo wapenda kina avengers huwezi wakuta wakiziangalia kabisaa
Huyo aliyetengeneza Inception na interstellar yaani Christopher nolan ndio ametengeneza batman dark night franchise ambayo haina tofauti na avengers sababu yenyewe imebase kwenye comic books za DC ambao ndio wapinzani wakubwa wa marvel watengenezaji avengers.


Avengers imengoza kwenye box office kwa kupiga zaid ya 5 trillions za kitanzania hiyo ni sababu tosha kusema sio movie za watoto bali ni creativity na genre fulani ya movie.
 
Uzuri zaidi wa lost wale jamaa waliinvest kwenye story,hakuna sex scenes za ovyo ovyo au ishu za mashoga kama series za sikuhizi.
Kwahiyo una weza cheki hata na mdogo wako wa miaka 2 bila kuforward.


4815162342
Hizi namba ulizoandika nazo Nikisanga..
Series Kama Got na Lost Ni vizuri ukawa na subtitles..
 
Back
Top Bottom