Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 59,858
- 103,911
Kuna Jamaa yangu àmeowa Mmarekani pure na watoto wake ni Wamarekani pure kitabia.Kwangu sio za ukweli. Muhimu watu wale matunda kwa wingi maana poop ngumu hata ukichuchumaa haitoki na laini hata ukikaa inatoka
Basi kuna rikizo akitaka wake Bongo na mama Yao kujuwa Asili ya Baba yake.
Sasa ikabidi twende Mbezi Beach kutafuta shule watakayosoma Kwa muda kipindi wapo Tanzania.
Basi tukaelekezwa the best school maeneo ya Mbezi Beach, mazingira mazuri sasa kukaguwa vyoo ni vya kuchuchumaa wenyewe wanaita squart, hapohapo shule ikawa disco, maana Mmarekani hawezi kutumia Choo cha kuchuchumaa.
Kwahiyo hizi nyingine za mleta mada ni story tu za kulipamba tangazo lake.
Ni kama vile wanywaji Pombe na wavuta sigara kila ugonjwa lazima wapimwe mkwala kwenye sababu zinazosababisha ugonjwa.
Kwa kifupi hizo ni swaga tu.