Kama ningekuwa naanza kujifunza kitu chochote kile basi ningeanza kwanza kujifunza hivi vitu vitatu (3) hapa...!

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
261
455
PS: Sio Copywriting, Sales, Content Marketing, Freelancing, Affiliate Marketing, Forex, Crypto, Graphic Design wala Coding!

1). Ningejifunza Kuhusu…MINDSET!

Kwanini?

Hakuna kitu kina SHAPE Tabia ya mtu kama vile…“BELIEVE SYSTEM”.

Imani ndio Inafanya watu Waabudu SANAMU na MIBUYU na Imani ndio Ilimfanya Petro atembee juu ya Maji.

Kwahiyo…

Kama Hukiamini kile Unachokifanya kama Kinaweza kukupa Maisha unayoyataka basi Hata kama uweke Nguvu na uwe na Skills kiasi gani Hutaweza kufanikiwa.

Kwasababu Imani ndio Inafanya VITENDO Vifanyike na Kitu kinachoendesha Mwili ni AKILI na kama Akili Haiamini katika kile Unachofanya maana yake Huwezi kuamka Asubuhi na kwenda Kukifanya hicho kitu.

Ndio maana huwa Napenda kusema…

Kama kweli kuna Watu wamefanikiwa kwa kuwa “MAFUNDI CHEREHANI” kwanini Mtu mwingine mwenye UJUZI kama huo huo Anashindwa kufanikiwa kwenye hiyo Career?

Hapo ndipo Utajua kwamba kuwa na UJUZI ni Moja na Kuufanya huo Ujuzi Ukupe KIPATO ni Jambo Jingine. Unahitaji kuwa na IMANI kwenye Kitu chochote kile Unachokifanya.

Vile Vile kuna kitu Kingine kwenye Mindset Kinaitwa… “PERCEPTION”

“Watu wengi huwa Wanadhani Wanaona kwa Kutumia MACHO yao ila Ukweli ni kwamba Wanaona kwa Kutumia AKILI zao”

Kazi ya Macho (Sense Organs) ni kuleta Taarifa ILA Akili yako ndio Inafanya kazi ya Kuona.

Kwa Maana hiyo sasa Naweza Kusema…

Tunaweza kuwa wote Tunaona Gari aina ya TOYOTA Crown Athlete Nyeusi ILA Jinsi Tunavyo Tafsiri hiyo Taarifa kwenye Akili zetu Ikawa ni Tofauti kwa kila Mmoja.

Ndio maana Waliosema kila Mtu huwa ana Dunia yake…HAWAKUKOSEA!

“Unaona na Kuishi MTAZAMO Uliyopo Kichwani Mwako na Sio Uhalisia wa DUNIA Ulivyo”

Kwahiyo…

Kama utakuwa Unaona vitu kwa PICHA Tofauti na “Uhalisia” basi ni Rahisi sana kufanya Makosa katika kile Unachokifanya na mwisho wake Kutokufikia Ndoto zako.

Ndio maana ni Muhimu ku FIX Mindset yako kabla Hujaanza kufanya Chochote kile, Hasa Hasa kwenye eneo la….

BELIEVE SYSTEM… Mfumo wako wa Imani.

Na…

PERCEPTION… Jinsi Unavyoiona Dunia na Uhalisia wake.

Na…

Kitabu kizuri cha Kuanza nacho ku FIX Mindset yako ni cha MD, Maltz Maxwell Kinaitwa…

“PSYCHO – CYBERNETICS”

Kama uko Karibu na Bookshop yoyote Ingia Kakicheki, Ukikikosa Ingia Amazon Kilipie Chapu Utakipata…Ni Kitabu kirefu Ila I PROMISE Hutojuta Kuwekeza Muda wako Kukisoma.

2). Ningejifunza Kuhusu… HUMAN PSYCHOLOGY!

Kwanini?

Kwenye Akili ya Binadamu huwa kuna kitu Kinaitwa…

“BIAS/TENDENCY”

Yaani…

“Ni ule Mwelekeo wa Upendeleo mtu anakuwa nao Dhidi ya Kitu, Mtu au Kikundi flani ambao mara nyingi Unakuwa sio wa Haki”

Mfano Nikikuuliza...

Kati ya Messi na Ronaldo nani Mchezaji Bora?

Kati ya Alikiba na Diamond nani Kaleta Mapinduzi kwenye Mziki wa Bongo?

Kati ya De Bruyne na Zidane nani Kiungo Bora wa Muda wote?

Kati ya Clouds na Wasafi Fm Ipi ni Redio Bora kwa sasa?

Kati ya PF Majani na S2Kizzy nani Kazitoa Ngoma kali Zaidi?

Kati ya Nyama ya Kuku na Samaki ipi Nyama Tamu Zaidi?

Kwenye hayo Maswali yote hapo Juu kila Mmoja atakuwa na Majibu yake na Wote tuko Sahihi kwa Mitazamo yetu. Na Majibu yetu yamekuja tofauti kwasababu ya “BIAS” Tulizonazo kwenye hao watu au vitu hapo juu.

Sasa kwenye Ishu kama ya Mziki na Mpira huwa hukuna “CONSEQUENCE” Kubwa...Matokeo yake huwa ni Madogo au hayapo Kabisa.

Yaani...

Wewe hata kama Ukisema Zidane ni BORA kuliko Kelvin De Bruyne huwezi Kupata Madhara yoyote yale kwenye Maisha yako.

LAKINI...

Sasa Inapokuja kwenye Ishu za MUHIMU kama Maisha, Biashara, Investment n.k Unapokosea kufanya Maamuzi Madhara yake huwa ni Makubwa na yana Umiza zaidi...

Kwasababu Unakuwa Umepoteza... Familia, Pesa, Muda, Reputation, Nguvu na Vitu vingine vya Muhimu kwako.

Na Kama Tunavyofahamu kuwa...

“Maamuzi Unayoyafanya Leo ndio yana SHAPE Maisha yako ya Kesho. Period”

Kwahiyo unajifunza Human Psychology ili uwe na UWEZO wa Kufanya Maamuzi sahihi.

Sio ufanye Maamuzi kama Jinsi Unavyoona na Hisia zako zinavyotaka ILA Unafanya Maamuzi kutokana na Uhalisia na Data Zinavyosema.

Maana huku Ukikosea kidogo Tu Madhara yake ni Kupoteza Pesa au kuwa na Familia isiyo Sahihi kwasababu Ulichagua Mke/Mume kwa Mapenzi yako wewe.

Na hizi Bias au huu Upendeleo Tulionao ndio...

Umefanya FOREX Traders wengi Wachome Account zao.

Na...

Wajasiriamali wengi Wafunge BIASHARA au MADUKA yao.

Kwahiyo kwa Msaada tu kama Unataka Kujifunza hizi “HUMAN TENDENCY” basi Katafute Article moja Imeandika na Late Billionea Charlie Munger Inaitwa...

“The Psychology of Human Misjudgment”

Au...

Kama unapenda Kusoma Vitabu katafute Kitabu chake Kinaitwa...“Poor Charlie's Almanack”

Humo utajifunza hizo Bias/Tendency + Mental Models kibao kwaajili ya Kufanya Maamuzi Sahihi.

Vile Vile…

Kama Itatokea kuna Mtu au Bookshop yoyote ina HARDCOPY ya hiki Kitabu naomba anipe Taarifa, Nina Kitafuta kama Shilingi. Pesa yako Ipo Mkononi hapa.

Na Mwisho Kabisa…

3). Ningejifunza Kuhusu…HABIT FORMATION!

Kwanini?

“Sisi ni Matokeo ya VITU Tunavyovifanya Kila Siku kwenye Maisha yetu”

A.K.A... HABITS!

Ili tuweze Kupata Matokeo tunayoyata na tuwe na PERSONAL GROWTH Basi ni Lazima tubadili Vitu tunavyofanya Kila siku.

Huwezi kuwa na Mwili Unaoutaka kama Hutoanza kufanya...MAZOEZI!

Huwezi kuwa na Maarifa mengi kwenye Kile unachofanya kama Hutoanza...KUSOMA/KUJIFUNZA!

Huwezi kuwa na Utulivu wa Akili kama Hutofanya...MEDITATION!

Hizo zote ni Habits na Hakuna mtu ALIZALIWA nazo bali watu wote huwa wanazi Develop kwa Njia maalumu.

Kwahiyo...

Kama ukiweza Kujifunza jinsi ya ku “FORM – HABITS” Basi hakuna kitu Kitakushinda kufanya.

Maana utakachokuwa Unafanya ni Kuangalia nini Unataka kuongeza kwenye Maisha yako then Unarudi kwenye Basic... HERE WE GO!

....SIMPLE!

Kwa ufupi Tu kama Utajua Jinsi Habits zinakuwa FORMED Basi Huwezi Kushindwa Kuanza au Kuacha kufanya Kitu chochote kile Unachokitaka.

Unashindwa kukaa chini na Kuandika Copy ya Tangazo, Kupiga Simu ya Mauzo au Kuandika Contents za Maana kwasababu SIO Habits zako na Hujui jinsi ya Kutengeneza aina hiyo ya Maisha.

Kwahiyo kama kweli Unataka kuanza kufanya kitu Chochote kile kwenye Maisha basi Jifunze Jinsi HABITS Zinakuwa Formed!

Na...

Kama kweli Unataka kujifunza Jinsi ya KUJENGA Tabia Mpya basi Kasome Kitabu cha James Clear Kinaitwa...

“Atomic Habits”

Sijasoma Vitabu vingi vya Habits Ila naweza Kusema hiki ni Moja ya Kitabu Bora kabisa tena ni Practical Book...Ni Kitabu ambacho Utasoma na hapo hapo Unaanza Kubadili Mtindo mzima wa Maisha yako.

I Can Say... It’s a GREAT Book!

Na...

Kama utapenda kwenda DEEP Zaidi na Kujua BASICS kwenye Habit Formation basi Nenda kasome Articles za Hawa watu hapa chini...

“B.F Skinner na Ivan Pavlov”

I Hope kuna Nyama Nyama Unaweza Kuziokota kwenye Kuongeza Uelewa wa Jinsi Tabia Zinavyojengwa na Jinsi ya Kuepuka Addictions.

CONCLUSION...

Kwa Kumaliza Tu ni Kwamba...

Hadi hapa Ninapoandika Sasahivi Nishajifunza Vitu Vingivingi Kidogo, Kama Vile...

Sales...

Marketing...

Distribution...

Copywriting...

Offer Creation...

Mental Models...

Human Psychology...

Habit Formation...

Mindset...

Inlfuence & Persuasion...

Team & Culture Formation (Kidogo)...

Na...

General Business Ideas (From Product to Key Opportunities).

Kwa Uzoefu huo Mdogo wa Kusoma na Kufundisha Wajasiriamali wenzangu...Naweza kusema hivi Vitu Vitatu (3) ndio Vimebeba Mafanikio ya Mtu baada ya Kujifunza kitu chochote kile.

Inaweza ikawa siko sahihi au Inaweza ikawa hivi Vitu havikufanya kazi kwako wakati wa Kujifunza ILA kwa Uzoefu nilionao hadi Sasahivi naweza Kusema...

Hivi Vitu ndio Vinawazuia watu wengi Kupata Matokeo wanayoyataka baada ya Kujifunza kitu chochote kile.

Ngoja Nikuulize hiki Kitu hapa Chini...

Ni watu wangapi Tumesoma COPYWRITING kwa Nyanda? Ni Wangapi Wanaitumia Kutengeneza Kipato kama yeye?

Ni watu wangapi Wamesoma FOREX kwa Sir Jeff na Other Mentors? Ni wangapi Inawaingizia Kipato?

Ni wangapi Wamejifunza KILIMO kwa Malembo na Other Mentors? Ni wangapi Wanakifanya na Kuwaingizia Kipato?

LIST... Inaendelea.

Shida haipo kwenye Kujifunza UJUZI “X” Shida iko kwenye Kichwa chako na Uhalisia Ulionao juu ya Hicho kitu.

Na...

Hadi ukubali Kubadilisha huo MTAZAMO Ndio utaanza Kuona Matunda ya Ujuzi wako...Tofauti na hapo Utaona wengine wanafanya Progress na wewe Upo pale pale.

Utajifunza hiki na Utajifunza kile ILA Still Hutaona MATUNDA na Mwisho utaona Self Employment is not for Everybody.

ILA...

Ukweli ni kwamba Ulianza Kujenga Nyumba juu ya Mchanga Lazima Itadondoka Tu.

Jenga FOUNDATION kwanza (Mindset, Human Psychology na Habits) Ndio uanze Kunyanyua Nyumba Juu (Sales, Copywriting, Coding, Kilimo n.k)

Tofauti na hapo Hutoona Matokeo kwasababu GAME nyingi kwenye Maisha na Biashara huwa Zinaanza kuchezwa kwanza Kichwani kabla ya kwenye Uhalisia.

(Be Mentally Fit and Strong)!

Nitafutie Guru au Mentor yoyote yule Mwenye MINDSET Weak hapa Duniani...HAYUPO!

Hata Mitume na Manabii walikuwa wako STRONG Kichwani ndio maana Licha ya Criticim bado Waliendelea Kutangaza DINI na hadi Leo wewe Unajiita Muumini wa Dini flani.

Kwahiyo ninachotaka Kusema ni kwamba kama ndio Unaanza basi...

Jifunze hivyo Vitu kabla hujaweka UJUZI wowote Kichwani, Zijue Bias zote ili Uweze kufanya Maamuzi sahihi then Jifunze chochote Unachokitaka Kujifunza hata kama ni Kukanda Chapati.

Na...

Kwa Mtu Mwepesi kabisa Kuelewa anaweza kuchukua Miezi 3 Kujifunza hivi Vitu na kwa wale Wazito kabisa kama Mimi Inaweza kukuchukua Miezi 6 Kujifunza.

Na...

Kama ukianza kujifunza Mwezi ujao basi Mwakani mwezi wa kwanza Utakuwa tayari Kuanza kujifunza kile Unachokipenda.

Kwa wewe ambaye Tayari uko kwenye Game hii ni Rahisi sana kwako...

Tenga mwezi Mmoja wa Kujinoa then Mwezi Ujao utakuwa tayari kwa Kuendelea na Mapambano.

PS: IT’S. SIMPLE. LIKE. THAT. BUT. NOT. EASY. LIKE. THAT!

Uwe na Siku Njema.

Gracias

Seif Mselem!
 
Mliosoma mkaelewa vizuri mtufanyie summerization
The key takeaways are:
  1. Mindset is foundational: Your belief system shapes your actions and outcomes. Before learning any skill, cultivate a strong mindset.

  2. Understand human psychology: Biases influence our decisions. Learn about these biases to make better choices in business and life.

  3. Habit formation is key: We are the sum of our daily habits. Learn how to build positive habits to achieve your goals.
 
Seif Mselem, Top content uliyoiandika, natamani kama ningejua hayo miaka 10 iliyopita nisingeshikika now. Jimejifunza kwa jasho na maumivu ya makubwa ya moyo.
Nilijua nikifanya kazi kwa bidii au nikiwa mwema sana nitakuwa na mafanikio yanayolingana na jitihada zangu bila kujua jinsi ya kudeal na real problems kama.

Confidence na courage.
Breaking limiting mindset.
Mental resiliance.
Body languages.
Communication Skills.
Follow spiritual/subconsious signals.

The rest is history
 
Appreciate Brother 🙏🏻

The rest is historAppre
 
Back
Top Bottom