glory to yhwh
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 1,026
- 1,387
Mara nyingi waajiriwa wamekuwa wakipata changamoto ya kufeli kwa biashara, wanazozianzisha, tena mapema sana, kutokana na kutokuwa na uelewa (awareness) wa kutosha na muda wa kusimamia.
Factors zinaweza kuwa zaidi ya hizo ila kwa waajiriwa main ni hizo.
Sio kila biashara anaweza kufanya mtu aliyeajiriwa (8 to 5 job)
Kwa waajiriwa wengi mtaji sio tatizo, tatizo ni afanye biashara gani itakayompa kipato cha ziada na iwe successful
Hizi hapa chini
1. Tenda za ku-supply bidhaa kwenye shirika au kampuni kubwa reliable,
2. Kuweka stock mazao, hasa yasiyohitaji uangalizi wa mara kwa mara. E.g. Mpunga, mihogo etc
3. Kukodisha gari kwenye kampuni au shirika (mfano kampuni za tour, NGOs, mgodini etc)
Sasa usije ukachukua mkopo haraka haraka baada ya kupata hii insight.
[Nitaandika uzi hapa siku si nyingi juu ya kwanini usichukue mkopo (kama bado hujachukua) au kutop up mpaka ujibu maswali matatu]
️Ebu tuambie uliangukia pua biashara ipi
️Nini umejifunza
️Unashauri nini kwa mtu aliyeajiriwa anapotaka kufanya biashara
Ongezea zingine unazozijua zinazomfaa mwajiriwa
We are all learning