Kama ni kweli, basi NECTA ni janga

Hivi turudi kwenye katiba inasemaje kwa wateuliwa na wawakilishi wawe na kiwango gani cha elimu na hapo ndo tutapata ubora wa hoja na kuweza kueleweshana
 
zero kutokupata cheti ilianza miaka ya mwisho ya uongozi wa Mkapa so its most probably the time anamaliza zero pia zilikuwa bado zinapata cheti
 
Nilidhan pekeyangu nashangaa kumbe tuko wengi. Cheti cha zero kilitolewa mwaka gan? Baraza halitoi cheti kwa div zero. Mchungaji kafumka, inawezekana anacho. Tusubiri tuone, au kakitengeneza yeye mchungaji!!!
So ame prints result statement
 
Nauliza tu, hivi tokea lini NECTA wanatoa vyeti kwa waliopata division zero? Maana nimesikia na ninaamini asilimia kubwa baadhi yetu tumesikia hii kauli ya kuwa kuna mtu ana cheti cha mwenzie kipo ofisini kwake kinachoonyesha kapata division zero.

Basi kama ni kweli kuna mtu ana cheti halafu alipata zero huu ni uhaini.

Sitetei mtu kwenye huu uzi wangu ila kauli ya Mzee mwenzangu ndio imenichanganya kidogo.
Ungeuliza kwanza kuanzia mwaka gani necta waliacha kutoa vyeti kwa waliopata div. 0 kisha u- compare na mwaka aliosoma Daudi.
 
Kwani nini maana ya "ZERO"? Kielimu zero maana yake " umepuliza katika masomo yako{Full(F)Form(F)Four(F)For(F)Fighting(F)
For(F)Food(F)For(F)Four(F)years}.Hakuna mwanafunzi awezaye kusajiliwa kama mtahiniwa kisha usajili wake ukose kumbukumbu ya kile alichokipata,ikiwa walioshindwa kufanya mtihani huoneshwa kwa maneno "Absent", kwa nini mtu aliyetaga kumbukumbu zake zisionekane?

Kuwa na matokeo ya mtu si lazima kiwe cheti,hata ukiwa na printed document halisi iliyothibitishwa na taasisi husika ikionesha kile ulichokipata katika Mitihani yako nayo ni matokeo.Askofu Gwajima ni kiongozi wa kiroho,ana kundi analoliongoza,waumini wake wengine ni watumishi katika wizara na taasisi mbalimbali za serikali ikiwemo NECTA,ili kumtetea Mchungaji wao hawashindwi kutumia nafasi zao kuprint matokeo ya bwana Bashite na kumpelekea.Anazungumza anachokiamini,kama wewe una ukweli unaouamini utoe ili tumpuuze Mchungaji.
Umemaliza mkuu!
 
Nauliza tu, hivi tokea lini NECTA wanatoa vyeti kwa waliopata division zero? Maana nimesikia na ninaamini asilimia kubwa baadhi yetu tumesikia hii kauli ya kuwa kuna mtu ana cheti cha mwenzie kipo ofisini kwake kinachoonyesha kapata division zero.

Basi kama ni kweli kuna mtu ana cheti halafu alipata zero huu ni uhaini.

Sitetei mtu kwenye huu uzi wangu ila kauli ya Mzee mwenzangu ndio imenichanganya kidogo.
umekujakuja kujitete kwa hoja dhaifu???? tuonyeshe vyet mkuu
 
Do not waste your time for just hearsay contradiction gossip.Its very absurd for the so called respected priest can not diffentiate the fact and fiction,too bad.
Eventually, mkuki kwa nguruwe bhana. Anyway it is the kick of dying horse.
 
Nilidhan pekeyangu nashangaa kumbe tuko wengi. Cheti cha zero kilitolewa mwaka gan? Baraza halitoi cheti kwa div zero. Mchungaji kafumka, inawezekana anacho. Tusubiri tuone, au kakitengeneza yeye mchungaji!!!
Vilikuwa vinatolewa,vilizuiliwa miaka ya nyuma,nina MTU nayemfahamu pia anacho,vilizuiliwa awamu ya NNE kama sijakosea sana
 
Na huyu aliyepata cheti cha mwenzie na kuwa nacho ofisini, kakipataje na kwa mamlaka ya nani, na yeye hata akae na nyaraka ya serikali isiyomuhusu?
 
Back
Top Bottom