Kama ni kweli,basi CCM hatuiwezi kamwe

Kila mtu kwenye chama anaangalia maslahi yake ,MBOWE aliuza nafasi ya urais kwa lowasa akaweka hila kibindoni halafu hilo hawalisemi ,sasa mimi hatma yangu baada ya miaka 2 ,3.. 4.. . Siijui hata mbowe ataniona mjinga kukataa milioni 12..13.... Kisa et ukawa wanataka kulichukua jiji ,ili iweje halafu ikiwa mimi sina cha maana nachokipata huko kwenye Ukawa
 
Hivi Ni Kweli tunaweza kuzeeka bila Kuona MABADILIKO yeyote? Hii kitu inauma sana, binafsi nilikua naamini kizazi chetu Ndio Muda muafaka wa kufanya MABADILIKO ya Kweli Kama kizazi cha Miaka ya 1950s-1960s.. Ila kwa jinsi upepo unavyovuma Ni Kama vile Hakuna lolote litakalofanyika, hii kitu inaniuma sana sio Siri.
Aiseeee umeongea kwa uchungu sana mkuu pole, kuwa Na nguvu mkuu karibu tutavuka ng'ambo
 
Ikiwa kweli basi tuna nchi ya ovyo sana. Manake ni kwamba ama madiwani na viongozi wa UKAWA wana bei ndogo sana au CCM/Serikali wana hazina kubwa ya pembeni ambayo haimo kwenye hesabu ya taifa na wanaitumia kwa malengo binafsi hasa ya kisiasa bila kuwajibika kwa yeyote. Makombo ndiyo yanapelekwa kwenye huduma za kijamii.
 
Mbona me naona ni kawaida sana?mwaka jana wamekausha hazina kumdhibiti Lowassa, hilo la Mayor ndo litashindikana?
 
Hahaha hiyo katiba mpya ina nini cha kuibadilisha tanzania? Tatizo sio sisiemu Tatizo ni watawala wanaowaza kuwa matajiri wakuhifadhi hela uswizi na kama ni vibendera vya magharibi afrka Tanzania ndio no 1 tunadhamini wageni kuliko tunavyodhamini hata wazazi na ndugu zetu
Kisa ni uloo wa hela na zile 10% ambazo hazitusaiidii hata hao wahujumu umea sio sisiemu bali ukiangalia kwa macho ya mbali kuna mapapa wametega mitego yao wakijua akiwa fulani meya tutaiahika dar wenyewe....
Ndio maana siku zote kuyumba kwa uchumi na kila kitu ni kwaajili ya watu pengine hawafiki10 lakini wanaharibu mipango ya watu m4 ni ajabu sana na ninachomini sasa ni Mhe: Raisi kuanza na majipu ya chama chake kabla ya majipu hayo madogo wanayotumbua yanayotumbuka kirahisi
Mwisho nisemee! pia hata sisi watanzania tufanye kazi kwa bidii tuache kukaa vijiweni asubuhi mpaka jioni kucheza puli table Twendeni shamba tukalime tukapande miti kwa mvua zinazoendelea kunywsha na kuacha kukimbilia mijini akati vijijini ziko furusa kibao....
Natoa rai kwa wabunge wa vyama vyote wafike vijijini kipindi hiki wakae na vijana wajue matatizo yao wayatafutie ufumbuzi hasa masoko ya nafaka na upatkanaji wa pembejeo waache majungu yao waje tusaidiane Mbunge wa mtera, Kilindi, mvomero,Bk vijijini taarime na kwengineko.. igeni mfano wa Marehemu Deo Fikunjombe ( RIP)
Na Mh Joshua Nasari.Mb. Arumeru
 
Back
Top Bottom