KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,166
- 37,177
Colabo yao haikuanza leo
Kweli.....ndugu.....
Maana mashetani wengi wanapenda kuja katika maumbo ya kike.......
Colabo yao haikuanza leo
Na hata kuwaingia hupenda sana hiyo jinsiaKweli.....ndugu.....
Maana mashetani wengi wanapenda kuja katika maumbo ya kike.......
Colabo yao haikuanza leo
Una stress bila shakaunatafuna tu,ukiangalia kucha huli kwa raha,badala ya kushtuka mpe mgongo akukune na kucha,halafu mengenya hizo kucha ukimshirikisha,yaani unakata kipande kisha mnatafuna km bigijii huku unapima oil na engine km imechemka,kisha vipande mlivyotafuna unafyonza vyote mdomoni kwako alafu unavitelekeza kwenye kisoda na mbunye.kisha piga mzigo tundu zote abrakadabra.
lete matokeo
Hii inaitwa kwa mfano
ha ha ha!! ilianza kwenye ile riwaya ya .... kwahiyo apo anatimiza wajibu na historiaColabo yao haikuanza leo
Ndie yale ma Post ya hooo naota nakabwa na jinamizi Mara oooh nimeamka asubuh nakuta nimepigwa chale na wachawi Daaah kumbe uchawi wooote ni mikucha ya plastic ya mkeo . Ghaa
Hii post yako imeonyesha uwezo wako wa kufikiri
Kusema mwanamke yuko karibu sana na shetani inaonyesha hukutumia akili kabla ya kuainisha hii kauli yako. Yaani umekaririshwa na imani za kidini tu
Inawezekana ukawa sahihi.....
Lakini nimegundua kuwa sisi ni watu wawili tunaongea lugha tofauti......
Na hichi ndicho kinacholeta msawazo kwenye jamii......
Ngoja niyachukulie kama maoni yako.....
Haya sio maoni yangu tu huu ni ukweli. Hii dunia imejaa wanaume mashetani kuliko wanawake na mifano tuiona kila siku