Kama na mwaka huu hakuoi basi we jua hakuoi tena na utazeekea kwenu

Aisee!...huu uzi unawapa stress akina dada.Mungu atawasaidia tu mtaolewa wote
 
kwani lazima mwanamke awe na umri maalumu wa kuolewa? hata mwanamke anatakiwa ajipange kimaisha ili aweze kupambana na majukumu ya familia. Mawazo yakusema mwanamke chini ya miaka 28 awe ameolewa nimazo finyu sana. Mwanamke ni mtu kamili ana maamuzi ya kuchagua mwanaume anaye mtaka kwa wakati anaotaka ,na si kweli kwamba mwanamke anasubiri kutongozwa kwani hakuna kinachomzua kutongoza .Mwanamke sio bidhaa.
 
Unamuonea huruma nani wapo wadada waliojipanga vizuri na maisha, wamewatongoza wanaume wanaowata na wanaishi nao vizuri .Huyo unayemuonea huruma unakuta hana huo mpango wa kuolewa wewe unakaa kuumiza kichwa. Kweli Afrika tunamatazo mengi.
hao ni wawili katika mia
 
kuoa au kuolewa siyo muhimu katika maisha ila kutafta pesa ndio muhimu katika maisha,pgeni kazi kwanza mapenzi ndo yafuate
Mkuu kweli hujakua kiakili,kwani ukishaoa au kuolewa huwezi kutafuta hela? Au huwezi kupiga kazi?
 
Yupo bibie ana 35 now, ila anavyojikweza kama haendagi haja kubwa. Yupo kwa bi mkubwa wake ukimtembelea ni kama house girl maana anamuandalia mamaye kila kitu.....sie ndani kuna vyupi vya wale wanaojielewa. Akija anafua anaanika kwa kitanda then anaondoka akirudi anaikuta palepale alipoiweka... Mwaka wa kazi tu!
 
Back
Top Bottom