Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,706
Nina uhakika hakuna atakaye kujibu hili swali.Mambo ya biblia kaz ipo
Mie huwa najiuliza Sana.BIblia inasema siku ya kwanza mungu aliumba mchana na usiku..na pia inasema jua aliumba siku ya NNE..
Hapo kaz ipo sote tunajua mchana unatokana na jua ,sasa Siijui nuru aliyo iumba mungu siku ya kwanza ipo wapi??