Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,653
- 119,269
Wanabodi,
Kitendo cha Rais Dr. John Pombe Magufuli, kuangalia Clouds TV na Kuipongeza, kimeniacha na maswali mengi kuliko majibu, mojawapo likiwa ni kama rais anaangalia Clouds TV, nani anaangalia TBC?!.
Pongezi zake kwa Clouds Media pia zimetuma ujumbe mzito silently kwa TBC ambayo ndio TV yake na Redio Yake, kama Rais anatazama TV ya watu wengine na kuipongeza kwa kazi nzuri, vipi kuhusu TV yake?!, Kama rais hatazami TBC, na badala yake anatazama Clouds TV, na kuipongeza, then nani anatazama TBC?!.
Kitendo cha mwenye TV kutoiangalia TV yake, kinatuma ujumbe kuwa jee kuna uwezekano rais haangalii TBC kwa sababu inaboa?!, hivyo anaangalia Clouds TV kwa sababu imechangamka?!, na ndio maana amaipigia simu kuipongeza?!.
Au kunauwezekano, rais anaangalia TV zote ikiwemo Clouds TV na pia anaangalia tv nyingine ikiwemo TV yake ya TBC, na TBC pia inafanya vizuri, na inastahili pongezi za rais, lakini kwa vile TBC ni TV yake, kufuatia kanuni ya usijisifu, bali usubiri kusifiwa, then hata TBC ifanye vizuri kiasi gani, bado rais Magufuli, hataisifu kwa hoja, haistahili kusifiwa na rais, bali ameisifu Clouds kwa sababu ni ya wengine, na imefanya vizuri kuliko ilivyotarajiwa!.
Au pia inawezekana ni ile tabia tuu na yale mazoea ya mtu kudharau chake na kuthamini cha mwenzie?!.
TBC ndio TV pekee ya taifa, hivyo suala la rais ambae ndiye Mkuu wa nchi kuangalia TBC sio a matter of choice kuwa rais yuko huru kuangalia TV yoyote na kuipongeza, lakini kwa rais kuangalia TBC sio a matter of choice, ni compulsory as an obligation of duty, yaani ni wajibu rais wetu kuangalia TBC kwa sababu rais ndiye Editor in Chief wa vyombo vyote vya habari vya umma kwenye organization setup zao, hivyo suala la rais kuangalia TBC sio a matter of choice ni must, awe anaipenda au haipendi, iwe inamfurahisha au haimfurahishi, kuangalia ni wajibu, ila rais kuangalia TV nyingine zozote ndio a matter of choice na kwenye kupongeza pia its a matter choice kupongeza chochote kile kinachomfurahisha.
Rais kama alivyo Commander in Chief wa majeshi yetu ataonekana ni mtu wa ajabu kama atasifia tuu majeshi ya jirani na kukaa kimya kuhusu majeshi yake, kwa sababu kusifia has something to do with encouragement and boosting morale ya wapiganaji wetu, vivyo hivyo kwa hao wapiganaji wake kwenye sexta ya media.
Hongera sana Rais Dr. John Pombe Magufuli hongera sana for reality, simplicity, genuinity na being down to earth, kwa kupiga simu Clouds TV, kwa vile Clouds media ni "the peoples station, then you are A man of the people!. Lakini wakati ukipiga simu na kusifia cha mwenzio, nakuomba ukitupie jicho kile cha kwake, tena unapaswa kuiangalia kwa jicho tunduizi, kwa kujiuliza kama Clouds TV kuna vitu wanafanya kustahili pongezi ya rais wa nchi, what about TV yako mwenyewe ambao kuiangalia sio option, kusema utaangalia ile kitu roho inapenda, rais kuiangalia TBC ni obligation, hivyo itupie basi jicho TV yako iwe kama Clouds au hata kuizidi...!.
Paskali