Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,767
- 33,139
Kama hatuna hela tuliwezaje reli ya kati?unataka vitu vizuri je hela unayo?
Kuna haja kubwa sana ya sisi ngozi nyeusi kufanyiwa utafiti wa bongo zetu. Nakubaliana na wewe mkuuBado najiuliza kama sisi Waafrika weusi ni binadamu halisi au ni viumbe tunaofanana sana na binadamu.
Chenji ya kutosha ingebakia na huko tungeweka ya umemeKama hatuna hela tuliwezaje reli ya kati?
Tuipeleke wapi wakati tushatoka huko??Wajenge hiyo ya dizel sema iwe safi
Na wakija kujenga si pangu pakavu tunapata pa kushika
Magufuli nilitofautiana nae kwenye mambo yake ya ukatili tu na roho mbaya. Ila kwingine ninamkubali hadi kesho bwasheeeπ€£π€£π€£πππ
Mtanikumbuka
Kazi kazini!Tuipeleke wapi wakati tushatoka huko??
Tukikubali hilo tutaonekana sie ni majuha wa kiwango cha rami...
Uzuri wa JF ndo sehemu ya kuwasanua Viongozi.Tuna dereva wa hovyo sana awamu hii.kila sehemu anapuyanga tu
UkiKataa wewe inatosha.Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.
Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.
Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.
Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.
Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
Kapimwe akiliKataa wewe
Hilo nalo swaliunataka vitu vizuri je hela unayo?
TAZARA urefu wake ni 1860km, unajua gharama za kujenga SGR ya urefu huo?Kuna tetesi kuwa Maboresho yatakayofanyika katika reli ya TAZARA yanahusisha kuifanya reli hiyo kutumia treni ya dizeli kama Kenya.
Kama huu ndo ukweli napenda kuzishauri mamlaka za Tanzania kuukataa huu mradi.
Kama tumeweza kujenga reli yetu ya kati kwa kiwango cha SGR tena umeme itakuwa ni aibu na fedheha kuu tukijengewa kwa mkopo reli ya TAZARA iliyo na kiwango cha kutumia dizeli.
Mchina asitupande kichwani. Kama Zambia hawawezi kuwa na treni ya Umeme tumwambie kwa kujiamini kuwa kipande cha reli hii kwa upande wa Tanzania lazima kiwe na viwango vya kutumia umeme.
Akibisha tuachane nae tufanye kama Magufuli alivyoachana nao na kwenda kwa Waturuki kwenye SGR Reli ya Kati
Ndio ni sawa,Kwa nini sio sawa? Unadhani lengo la kuboresha reli ni kusafirisha Abiria au mizigo? Hiyo reli ya kati imekufaidisha nini kwenye Nchi Hadi sasa?Kapimwe akili
Kwa hiyo unaona sawa reli ya kati iwe ya umeme na reli ya TAZARA iwe ya dizeli?
Hujajifunza kwa Kenya ambao walijengewa ya dizeli sasaivi wanaomba tena mkopo ili wajenge ya umeme kama sie?