OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 54,495
- 123,140
Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 ni mashindano mapya ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Juni hadi Julai 2025 huko Marekani. Mashindano haya yanajumuisha vilabu bora kutoka mabara sita, yakiwa ni hafla ya kipekee ya kukutanisha vilabu vinavyowakilisha ubora wa soka duniani. Bara la Afrika litawakilishwa na vilabu vinne, vilivyopata nafasi hizi kwa kushinda michuano ya Ligi ya Mabingwa ya CAF Champions league na kwa kuzingatia viwango vya ubora vilivyowekwa na shirikisho hilo. Mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 yatafanyika nchini Marekani, kuanzia tarehe 15 Juni hadi 13 Julai 2025.

Bara la Afrika litawakilishwa na vilabu vinne katika mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025. Vilabu vilivyopata nafasi ya kufuzu ni Al Ahly ya Misri, Wydad ya Morocco, pamoja na klabu nyingine mbili ambazo zimefuzu kupitia njia ya viwango vya ubora. Vilabu hivi vimepata nafasi ya kushiriki kwa kushinda mataji ya Ligi ya Mabingwa ya CAF au kwa kuwa na alama bora zaidi katika viwango vya CAF. Vilabu hivyo ni Esperance ya Tunisia na Mamelod Sundowns ya South Africa.
Kwa kuwa Mnyama SC amekuwa wa nne kwa viwango barani Africa, kama mashindano haya yangefanyika mwakani Mnyama angeenda moja kwa moja kushiriki mashindano haya kupepetana na vigogo wenzake duniani.My Take
Labda tukisema hivi mtaelewa nini maana ya kuwa namba 4 kwa ubora barani Africa.