Kama Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA lingefanyika 2026 Simba ingeshiriki

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
54,495
123,138
Screenshot_20250417-173304.png

Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 ni mashindano mapya ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Juni hadi Julai 2025 huko Marekani. Mashindano haya yanajumuisha vilabu bora kutoka mabara sita, yakiwa ni hafla ya kipekee ya kukutanisha vilabu vinavyowakilisha ubora wa soka duniani. Bara la Afrika litawakilishwa na vilabu vinne, vilivyopata nafasi hizi kwa kushinda michuano ya Ligi ya Mabingwa ya CAF Champions league na kwa kuzingatia viwango vya ubora vilivyowekwa na shirikisho hilo. Mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 yatafanyika nchini Marekani, kuanzia tarehe 15 Juni hadi 13 Julai 2025.

Bara la Afrika litawakilishwa na vilabu vinne katika mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025. Vilabu vilivyopata nafasi ya kufuzu ni Al Ahly ya Misri, Wydad ya Morocco, pamoja na klabu nyingine mbili ambazo zimefuzu kupitia njia ya viwango vya ubora. Vilabu hivi vimepata nafasi ya kushiriki kwa kushinda mataji ya Ligi ya Mabingwa ya CAF au kwa kuwa na alama bora zaidi katika viwango vya CAF. Vilabu hivyo ni Esperance ya Tunisia na Mamelod Sundowns ya South Africa.

Kwa kuwa Mnyama SC amekuwa wa nne kwa viwango barani Africa, kama mashindano haya yangefanyika mwakani Mnyama angeenda moja kwa moja kushiriki mashindano haya kupepetana na vigogo wenzake duniani.

My Take
Labda tukisema hivi mtaelewa nini maana ya kuwa namba 4 kwa ubora barani Africa.
 
Ukitaka kujua nafasi ya Simba ni kubwa sana, Orlando Pirates hata ikichukua ubingwa wa CAF msimu huu haiwezi kuishusha Simba pale ilipo sasa hivi.

Jambo la msingi ni kuanzia msimu ujao Simba kupambania ubingwa wa CAFCL na pia kuhakikisha inaingia top 3 na haishuki. Hapo itakuwa inajihakikishia nafasi ya kucheza CWC ijayo.
 
Orlando pirates akibeba ubingwa wa CAF Champions league atamuaribia simba kila kitu sababu bingwa mtetezi lazima ashiriki club world cup
 
Vipi Berkane na Pyramid wakichukua?
Berkane akichukua ubingwa anampita Simba hata kama wakikutana wote fainali. Simba anahitaji kufika tu fainali ili asipitwe na Pyramids hata kama Pyramids wakichukua ubingwa.

Simba inabidi ijitahidi ifike fainali ili lolote litakalotokea ibaki kwenye top 5. Pyramids hana uwezo wa kuchukua ubingwa mbele ya Orlando, Mamelodi na Al Ahly.
 
Orlando pirates akibeba ubingwa wa CAF Champions league atamuaribia simba kila kitu sababu bingwa mtetezi lazima ashiriki club world cup
CWC ipo baada ya kila miaka 4. Hapo unaweza kuwa na point kama baada ya hiyo miaka 4 ijayo Simba itakuwa haijachukua CAFCL halafu mwaka wa nne iwe nje ya top 3. Esperance ameenda CWC si kwa kuwa amewahi kuchukua ubingwa miaka hii 4 bali kwa sababu baada ya kupata timu zote zilizochukua ubingwa wa CAFCL miaka hii minne iliyopita, timu zilikuwa hazifiki nne kwa hiyo inabidi waangalie kwenye ranking.

Kuwa safe zaidi ni kwa Simba kupigania kubeba CAFCL ndani ya misimu hii miwili ijayo.
 
Acheni unrealistic demands, CAFCL mlioshindwa kuingia semis mkiwa na simba bora ya wakina Chama, Miqui, Kagere ndio mkaipambanie na hawa wakina Kibu dennis.
 
Hakuna aliyetoa "demands". Nadhani ulikuwa unamaanisha "expectations".

Anyway, Simba iko short ya wachezaji 2 tu wa viwango vya Mpanzu katika namba 9 na 10 kuwa na uwezo wa kushindana na Club yoyote ile Africa hii bila shida katika mbio za ubingwa.

Pia hata Simba isipochukua ubingwa wa CAFCL, inahitaji kuhakikisha katika misimu mitatu kati ya minne ijayo inafika walau nusu fainali 3 na robo fainali 1 za CAFCL katika misimu hiyo.
 
Bado timu yenu ina mapungufu mengi sana yanahitajika kufamyiwa kazi ili kuwa katika iyo nafasi unayoiongelea. 97% ya timu zinazoshiriki CAFCC ni za viwango vya kawaida sana ukilinganisha na zile za CAFCC, kwaiyo ilo kombe la CAFCC sio kipimo cha kujiweka kwenye level za wakubwa.

Licha ya izo nafasi mbili ulizozitaja vile vile simba inahitaji mabeki wa pembeni, (especialy namba 3), beki mmoja wa kati, holding midfielder, na winga wa kucheza pacha na uyo Mpanzu. Mnahitaji sio chini ya wachezaji 6 mfikie ile level ya simba ya wakina kagere, chama na miquisone
 
Siyo kweli.

Nouma anazima vizuri tu na Duchu anakujakuja na tutaendelea kupima maendeleo yake. Inawezekana akatafutwa mchezaji mwingine wa kushindana naye. Mdogo mdogo unaona hawa ndiyo wanaenda kubeba majukumu ya nafasi hizo kwa siku zijazo.
 
Berkane akichukua ubingwa anampita Simba hata kama wakikutana wote fainali. Simba anahitaji kufika tu fainali ili asipitwe na Pyramids hata kama Pyramids wakichukua ubingwa.

Simba inabidi ijitahidi ifike fainali ili lolote litakalotokea ibaki kwenye top 5. Pyramids hana uwezo wa kuchukua ubingwa mbele ya Orlando, Mamelodi na Al Ahly.
Pyramids moto msimu huu mech ya al ahly na pyramids kwenye lig pyramids ali dominate kila eneo mbele ya al ahly
 
Back
Top Bottom