Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 54,324
- 122,958
Wanabodi
Hili ni moja ya mabandiko yangu ya kikubwa,hakuna jina la mtu yoyote, naomba tusitaje taje majina!。
Haya sio mambo ya ulimwengu huu wa kimwili,ni mambo ya ulimwengu wa kiroho。
Huko siku za nyuma,niliwahi kuisikia sauti fulani kutoka ndani yangu na nikapandisha bandiko la sauti HII humu jukwaani。
Sasa kama sauti HII ni sauti ya kwake mwenyewe YEYE ambaye ni YEYE mwenyewe,na aliyepangiwa,kwenye sauti HII ni huyu mhaini wetu, namshauri DPP wetu, niko chini ya miguu yako,Please! Please! Please!,tumia uwezo wako na powers zako za Nolle,to “ Do The Needful ASAP!” Kabla YEYE hajawashukia na kukinukisha!。
Uhaini sio matamshi,haufanywi kwa maneno ni kwa matendo ya mipango mkakati yenye actus reus na mens rea!。Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!
Na hapa niliendesha darasa la kesi za uhaini Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo
Malizeni hii kitu ASAP!,inamchafulia mama good track record yake bure!
Paskali