Kama hakuna atakayezungumza ukweli kuhuru Iran mimi nitazungumza

The unpaid Seller

JF-Expert Member
Oct 27, 2019
1,907
5,615
Huu uzi umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.

Eti nini? Eti hali mbaya ya nini? LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser.

Naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa"

Hii chopa imeshushwa na sio ajali. I think Iran is quickly and efficiently learning the hard way, that they messed around the real gurus.

Screenshot_20240520-133546_Quora.jpg
 
Chopa imeanguka hayupo aliyeiona ikianguka, hiyo picha uliyoiweka hapo ni satellite au umeitoa wapi? Pembeni panaonekana kuna ukungu kuonesha hali mbaya ya hewa iliyokuwepo eneo la tukio.

Inawezekana myahudi amefanya jambo lake, kwasababu kama kweli Iran wanaintelijensia wangetakiwa kujua kama wanawindwa na adui, kitendo cha kufeli kutambua hilo kinaonesha Iran bado dhaifu sana kimbinu za kijeshi, hawa hawana uwezo wa kushindana na myahudi.

Sababu ya hali ya hewa iliyotumika inaweza kuwa inatumiwa na Iran wenyewe kuficha ukweli wa kile kilichowakuta, kama waliona hali mbaya ya hewa kwanini wakarusha chopa? hawakujua athari zake?

Hii sababu waliyoitoa kwangu haiingii akilini.
 
AWALI mods namaomba msiunganishe huu uzi, umejikita kiinteligensia, facts na uchambuzi wa evidences zaidi ya ushabiki wa ule uzi mwingine.

eti nini ?! Eti hali mbaya ya nini ?! LIKO WAZI CHOPA YA KIONGOZI WA IRAN imeshushwa kwa space laser.

naomba unionyeshe hiyo "hali mbaya ya hewa"
View attachment 2994965
hii chopa imeshushwa na sio "ajali" I think Iran is quickly and efficiently learning the hard way, that they messed around the real gurus"
MODS, Tafadhali unganisha Uzi huu na ule mwengine. Hakuna Cha evidence Wala facts kama alivyosema mleta mada hii. Hii ni unnecessary multiplicity of threads.
 
Chopa imeanguka hayupo aliyeiona ikianguka, hiyo picha uliyoiweka hapo ni satellite au umeitoa wapi?

Japo inawezekana myahudi amefanya jambo lake, kwasababu kama kweli Iran wanaintelijensia wangetakiwa kujua kama wanawindwa na adui, kitendo cha kufeli kutambua hilo kinaonesha Iran bado dhaifu sana kimbinu za kijeshi.
Irani walikuwa sahihi Raisi kusafr kwenye chombo ambacho sio highlighted Kwa ajili ya viongozi, unfortunately wanasakwa hata kwenye bajaji , hcho ndo hawakujua
 
Back
Top Bottom