GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,023
- 119,542
Sawa tumeshajua kuwa Kawe Asili yake ni ' Cow Way ' au ' Njia ya Ng'ombe ' hivyo kwa mwendo huo huo leo na Mimi GENTAMYCINE naomba kujua Asili ya haya maeneo ambayo Siku zote nimekuwa nikiwa na Hamu / Shauku ya Kujua Historia yake....
Nawasilisha.
Kiboloroni
Makunduchi
Nyegezi
Mchambawima
Nawasilisha.