Mkuu mbona wajinga?Nchi imejaa wajinga kibao. Acha watapeliwe tu
Ndio mana nasema wajinga ni wengi. Tena kwenye dini ndio kabisa sijui kwann tumekosa maarifa, leo hii you can imagine Masanja na Mc pilipili nao ni mabishop eti wana wafuasi kibao🤣🤣🤣Mkuu mbona wajinga?
Ukistaajabia hili la hela ya kudownload utaliona la madhehebu ya dini!
Wambane yule jamaa anajiita mshauri serikali yeye si alikuwa anaitangaza
Sana
Ova
Nchi hii wajinga ni wengi ....na elimu ya kukariri hwajui kuchanganua mambo kabisaNdio mana nasema wajinga ni wengi. Tena kwenye dini ndio kabisa sijui kwann tumekosa maarifa, leo hii you can imagine Masanja na Mc pilipili nao ni mabishop eti wana wafuasi kibao🤣🤣🤣
Tunashindwa kuelewa siri ya mafanikio ni kufanya kazi tu. Tunatumia muda mwingi kwenye dini baada ya kufanya kazi. Wakoloni wametuweza kweli kuleta hizi dini hatutaweza kuendelea kamwe kama tutaendelea kuamini kila kitu Mungu atatufanyia.Nchi hii wajinga ni wengi ....na elimu ya kukariri hwajui kuchanganua mambo kabisa
Yaani watu Bado hajajifunza tu Bado kutoka deciNi "biashara"ya mtandao unaweka hela nyingi halafu unapata hela nyingi zaidi...wajinga ndio waliwao !
View attachment 2383093
Huyu hapa.Wambane yule jamaa anajiita mshauri serikali yeye si alikuwa anaitangaza
Sana
Ova
Nenda kwenye hiyo akaunti ukajithibitishieHiyo edit