Kali ya Mbeya: Kuku adonoa pesa ya mgao wa kikundi na kutoweka

Story zingine bhana kuamini bila picha ni ngumu sana
1452675235735.jpg
 
Acha tu ndugu,hawa watani zetu kwa kesi hawajambo,na hawakubali kushindwa. Watauza na viwanja kutetea kesi ya jogoo.....teh(jokes)

Mpare kwa kupenda kesi. Huu ubishi unaweza kumfanya mtani wangu akauza ng'ombe ili ashinde .
 
Majambazi wajifunze hii mbinu kuliko kutumia mabastola na kuangamiza roho zisizo hatia

Mkuu kwa ULAFI wa majamabazi hawatokubali kugawana mapato na ENGINEER anayetengeneza huu uwezo wa KUKU kudonoa mahela aka Dr/Prof....Wanaona heri waende front wenyewe.....
 
H
Hii imetokea kwenye kikao cha mgao wa pesa za kikundi walizowekeza kwa mwaka mzima.

Wakiwa kwenye kikao hicho pesa yote inayofikia 2,435,000/= taslimu iliwekwa kwenye ungo huku pembeni nje ya kikao kukiwa na kuku mmoja akiwa katulia tuli muda wote.

Ghafla kabla mgao haujaanza lilipita wingu angani na yule kuku kwa kasi ya ajabu alichumpa kwenye ungo na kudonoa sh 435,000/= taslimu na kutokomea kusikojulikana.

Hii yaweza kuwa mazingaombwe au uchawi lakini vyovyote iwavyo teknolojia ya uporaji inachukua sura mpya sasa.
apo ndo Wanaojitambuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wamechoka kuuana kwa nondo sasa wameanza kuiba pesa kwa kujigeuza kuku!!!?
 
Hayo matukio ni coincidence tu hakuna ndumba msiogope kuja Mbeya.

Kuna siku tulikuwa kijijini wanaume saba bahati mbaya tulisahau kubeba chakula. Mchana njaa iliuma mno na hakuna migahawa arround, tulichoweza kupata ni maandazi na azam cola tu, tulinunua yote tuliyoyakuta yalikuwa kwenye mfuko wa plastik

Sasa wakati tunanawa mikono tukawa kama tumezubaa hivi alipita mbwa mmoja akatembea nayo kwa spidi ya ajabu sana. Yule mbwa tulilala naye mbele hadi tukamtait na alirudisha maandazi yetu
 
Tukio la aina yake hilo linashangaza na kuleta hofu kuu.Wapi tunaelekea!! Duniani kuna mengi sana.
 
Matukio yote mawili yametokea, la mbwa lilikuwa Kyela. La kuku ni jana, leo nimesikia radio ushindi wakiwahoji wahusika
 
Hii technology inazidi kunipa mvuto wa ajabu wasioamini acha tu waendelee kutoamini siku nikiwin na kuanza kula bhata mtu asiniguse
 
Hii imetokea kwenye kikao cha mgao wa pesa za kikundi walizowekeza kwa mwaka mzima.

Wakiwa kwenye kikao hicho pesa yote inayofikia 2,435,000/= taslimu iliwekwa kwenye ungo huku pembeni nje ya kikao kukiwa na kuku mmoja akiwa katulia tuli muda wote.

Ghafla kabla mgao haujaanza lilipita wingu angani na yule kuku kwa kasi ya ajabu alichumpa kwenye ungo na kudonoa sh 435,000/= taslimu na kutokomea kusikojulikana.

Hii yaweza kuwa mazingaombwe au uchawi lakini vyovyote iwavyo teknolojia ya uporaji inachukua sura mpya sasa.

Hiki kipande kimenichekesha sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom