kalamu za kamera zipigwe marufuku chaguzi zote

Tatizo sio hilo mtu aweza kuwa hata kuwa na makalio yenye kamera ninachoongelea ni matumizi yake kwenye upigaji kura sheria hiruhusu
Tatzo kimekuuma kushinda chadema au kwani hiyo sheria haikuwepo kabla hawajapiga hizo kura? Na baada ya kugundulika zna camera je nin kilifanyika kupitia hyo sheria...
 
Mtu anatakiwa apige kura kwa uhuru bila shinikizo,woga au kuangaliwa anavyopiga na mtu mwingine aliye ndani ya chumba ,nje au picha ya kamera inayopiga na kurusha wakati anapiga kura.
Tume za uchaguzi zisiruhusu mtu yeyote kutumia kalamu yoyote zaidi ile zaidi ya ile ya Tume au ya msimamizi wa uchaguzi

CHADEMA uchaguzi mkuu walitaka watu waende na peni zao kumbe lengo lao lilikuwa kuingiza kalamu zenye kamera zinazotumiwa na mamafia.

Mtu akipiga kura anayetakiwa kuangaliwa anapigaje ni kipofu ambaye hupewa mtu wa kumsaidia

Kuruhusu watu kuja na peni zao siku ingine watakuja na kalamu zenye sumu zikamwaga sumu eneo la kupigia kura watu wakaathirika.Peni ziruhusiwe za tume tu na hata uchaguzi wa meya peni za kawaida ndio zitumike iwe marufuku mtu kutumia peni yake
Ndugu acha kupanick
 
Tatizo sio hilo mtu aweza kuwa hata kuwa na makalio yenye kamera ninachoongelea ni matumizi yake kwenye upigaji kura sheria hiruhusu
Sheria gani wakati hata tume iliruhusu kila mtu kuja na kalamu yake ingawa walikua nazo. alafu tofautisha kura zinazosimamiwa na tume ndizo zina sheria inayoeleweka lakini hizi ambazo hazisimamiwi na tume Mara nyingi zinakwenda kwa makubaliano ndo maana hata kwenye bunge la katiba wengine walipiga za wazi wengine kwa siri.
 
Mtu anatakiwa apige kura kwa uhuru bila shinikizo,woga au kuangaliwa anavyopiga na mtu mwingine aliye ndani ya chumba ,nje au picha ya kamera inayopiga na kurusha wakati anapiga kura.
Tume za uchaguzi zisiruhusu mtu yeyote kutumia kalamu yoyote zaidi ile zaidi ya ile ya Tume au ya msimamizi wa uchaguzi

CHADEMA uchaguzi mkuu walitaka watu waende na peni zao kumbe lengo lao lilikuwa kuingiza kalamu zenye kamera zinazotumiwa na mamafia.

Mtu akipiga kura anayetakiwa kuangaliwa anapigaje ni kipofu ambaye hupewa mtu wa kumsaidia

Kuruhusu watu kuja na peni zao siku ingine watakuja na kalamu zenye sumu zikamwaga sumu eneo la kupigia kura watu wakaathirika.Peni ziruhusiwe za tume tu na hata uchaguzi wa meya peni za kawaida ndio zitumike iwe marufuku mtu kutumia peni yake
Mwendawazimu kabisa wewe
 
YEHODAYA; iko hivi: wiki iliyopita kwenye VICCOBA ambayo mimi ni mwanachama tulikuwa na uchaguzi wa Mwenyekiti na viongozi wengine na kura ilikuwa ya kunyosha mkono kwa uwazi kabisa. Iliwahi pia kufanyika hivyo kwenye BMK na kwingine inafanyika hivyo. Uchaguzi unaofungwa na sheria unayoitaja wewe ni uchaguzi mkuu; sidhani kama wa mameya na nyinginezo zinahusika na hiyo sheria moja kwa moja.
 
Mtu anatakiwa apige kura kwa uhuru bila shinikizo,woga au kuangaliwa anavyopiga na mtu mwingine aliye ndani ya chumba ,nje au picha ya kamera inayopiga na kurusha wakati anapiga kura.
Tume za uchaguzi zisiruhusu mtu yeyote kutumia kalamu yoyote zaidi ile zaidi ya ile ya Tume au ya msimamizi wa uchaguzi

CHADEMA uchaguzi mkuu walitaka watu waende na peni zao kumbe lengo lao lilikuwa kuingiza kalamu zenye kamera zinazotumiwa na mamafia.

Mtu akipiga kura anayetakiwa kuangaliwa anapigaje ni kipofu ambaye hupewa mtu wa kumsaidia

Kuruhusu watu kuja na peni zao siku ingine watakuja na kalamu zenye sumu zikamwaga sumu eneo la kupigia kura watu wakaathirika.Peni ziruhusiwe za tume tu na hata uchaguzi wa meya peni za kawaida ndio zitumike iwe marufuku mtu kutumia peni yake

Unakumbuka kura za wazi za bunge maalum la katiba?hazikuwa na shinikizo?
 
unakumbuka kura za wazi za bunge maalum la katiba?hazikuwa na shinikizo?hata kumchagua monitor wa darasa huwa zinapigwa kura za siri lakini jambo nyeti kama katiba lilifanyiwa mzaha.
Unyama unyamani tu
Umafia mafiani tu
 
Huyu nae! Hivi kuna sheria elekezi za kutumia kalamu za aina fulani tu kwenye uchaguzi?
 
Swala ni kukiuka sheria ya uchaguzi.Unapopiga kura ni siri yako binafsi hatakiwi mwingine kukutazama. Huyo mtazamaji mwingine hatambuliki na sheria za uchaguzi na hatakiwi. AWE MTU HALISI AU KAMERA
Tungekuwa tuna imani na mchakato haya yote yasinge tokea, CCM na wakurugenzi wao hawaaminiki na hii imewafanya hawa wengine kujihami. Hapa democrasia ndiyo imepoteza. Wamepiga kura ya SIRIWAZI.
 
Swala ni kukiuka sheria ya uchaguzi.Unapopiga kura ni siri yako binafsi hatakiwi mwingine kukutazama.Huyo mtazamaji mwingine hatambuliki na sheria za uchaguzi na hatakiwi. AWE MTU HALISI AU KAMERA
Acha upumbavu, kumbuka Ni nani alikupeleka kupiga kura
Kama unatakupigua ccm hamia kwao uwapigie
 
Imekula kwenu nyie wabakaji wa demokrasia.
Jamani wabakaji wa Demokrasia wanashunda wale walishindwa kushawishi kwa maneno wafuasi wao bali kwa vitisho na lazima!!! Serekali imeenda wapi that is crime!!!!
 
Kisa,mmeehindwa, unakuj kutoa povu hapa!

Tumieni na nyie hizo km mnaona wenzenu wanafaidi.
 
Mtu anatakiwa apige kura kwa uhuru bila shinikizo,woga au kuangaliwa anavyopiga na mtu mwingine aliye ndani ya chumba ,nje au picha ya kamera inayopiga na kurusha wakati anapiga kura.
Tume za uchaguzi zisiruhusu mtu yeyote kutumia kalamu yoyote zaidi ile zaidi ya ile ya Tume au ya msimamizi wa uchaguzi

CHADEMA uchaguzi mkuu walitaka watu waende na peni zao kumbe lengo lao lilikuwa kuingiza kalamu zenye kamera zinazotumiwa na mamafia.

Mtu akipiga kura anayetakiwa kuangaliwa anapigaje ni kipofu ambaye hupewa mtu wa kumsaidia

Kuruhusu watu kuja na peni zao siku ingine watakuja na kalamu zenye sumu zikamwaga sumu eneo la kupigia kura watu wakaathirika.Peni ziruhusiwe za tume tu na hata uchaguzi wa meya peni za kawaida ndio zitumike iwe marufuku mtu kutumia peni yake
maana halisi ya kinachoitwa kupiga kura haina maana tena. huu ni muendelezo tu. tuliyaona kwenye bunge la katiba, uchaguzi wa zanzibar na sasa uchaguzi wa mameya wa kinondoni/ilala.
 
Back
Top Bottom