mchillo
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 500
- 224
"mbona umekasirika? mimi ninauliza tu, bila jazba na hasira ungenijibu au kunyamaza! sasa sijui nini kimekukasirisha au ni majeraha ya uchaguzi? sio mimi ni wa tz ndio walioamua! sasa tusahau yaliyopita tujenge nchi yetu!!"
Nakerwa sana na usemi wako wa ati wa tz ndio walioamua kwani ukweli ni kwamba ni tume, usalama wa taifa na kikundi cha wahaini ndiyo walioamua. Bila shaka wewe ni mmoja wa makada wa uchakachuaji huo, na ndiyo maana unashabikia kilichotokea. Tunakwambia Kikwete na wachovu wake CCM watatawala miili yetu kwa maana wana bunduki, mizinga,ndege vita na manowari lakini kamwe si mioyo yetu. Ni aibu kuishi katika nchi inayoongozwa na chama ambacho wote ni wezi, kuanzia Raisi mpaka tarishi. Raisi wetu sisi ni Dr. Slaa aliyefanyiwa uhaini wa kugeuzwa maamuzi ya wananchi tuliomchagua.