Mada hapa inazungumzia watumishi wa serikali na sekta ya umma wasipewe mikataba ya kuendelea na ajira zao! Mada haizungumzii wanasiasa!!! Kazi zinazotokana na siasa zinapatikana kwa juhudi binafsi!!!Nimechanganya wapi? Unamjua engineer Stella manyanya? Serikali iliyopita alikuwa na vyeo vingapi? Unajua kama alikuwa mbunge na mkuu wa mkoa? Itakuwa mzee wako au wewe unafaidika na ujinga huo,yule alikuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa na wakati huo huo mbunge pia wa viti maalum mkoa huo huo,
Mada hapa inazungumzia watumishi wa serikali na sekta ya umma wasipewe mikataba ya kuendelea na ajira zao! Mada haizungumzii wanasiasa!!! Kazi zinazotokana na siasa zinapatikana kwa juhudi binafsi!!!
Watu wenye uwezo na uzoefu waache wafanye kazi