sunola
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 2,781
- 1,739
Nimependa maneno yako nimeona nikuquote kabisaMtu asiyeweza kusoma na kelewa maandishi ya zamani yalioandikwa kwa lugha ya kizamani na yalioanza kuchakaa hataweza kukuelewa milele...hongera sana kwa habari, kumbe ndo maana sukari imeadimika kwa sababu ya kuwapa watu wachache faida!