boma2000
JF-Expert Member
- Oct 18, 2009
- 3,280
- 310
Pamoja na mafanikio ya Uchumi ambayo nichi ya Rwanda imeyapata, inaonenakana kwamba kuna fukuto la chini kwa chini la upinzani ambalo linamkabili Kiongozi huyu.
Ifuatayo ni document iliyoandikwa na wapinzani wakubwa wa kisiasa, kuuonya Ulimwengu kwamba Rwanda chini ya Kagame inaelekea Kubaya, na watu hawana budi kuwa makini.
Ndivyo waafrika tulivyo kazi ni kutumiwa na wazungu kuvuruga amani na maendeleo kwa kigezo cha demokrasia. Mtu mwenye akili timamu kwa kuangalia mauaji ya 1994, uchumi ulivyokuwa na maendeleo yanayopatikana chini ya kagame, huwezi kufanya ujinga wa kutaka kurudi kuchinjana badala ya kuendelea kujadiliana polepole mpaka kufikia mabadiriko kama yanatakiwa badala ya kutaka kulazimisha ili kufikia malengo binafsi ya kisiasa bila kujali watu na maendeleo