Kafulila: Tunatekeleza agizo la Waziri Mchengerwa ndani ya muda mfupi ujao DART itasaini mkataba na Mbia nia ni kupunguza gharama Kwa wananchi

Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa,

Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa UDART ndani ya miezi Saba.

Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP Bwana David Kafulila amesema ndani ya muda mfupi ujao watakuwa tayari wamekamilisha mkataba baina ya DART na Mbia ili kuhakikisha Wananchi wa Dar es Salaam hawapati adha ya usafiri na Usafirishaji.

Kafulila amesema, Mbia huyo wa UDART atanunua Mabasi yeye mwenyewe na atayaendesha kwa Ubia na Serikali katika kipindi Cha mkataba na hivyo kuifanya gharama ya usafiri kuwa nafuu Kwa wananchi na wakazi wa Jiji la Dar es salaam.

Kafulila amesema kuwa 40% tu ya wafanyakazi waishio Dar es salaam ndio wanakwenda kazini kwa miguu ( working distance).

Hivyo zaidi 60% wanafanya kazi sehemu ambazo wanalazimika kulipa nauli kila siku ili kwenda kazini na kurudi nyumbani.

Nia ya Serikali ikiwa ni kutoa unafuu wa gharama za Usafiri na usafirishaji Kwa Wananchi hasa wakazi wa Jiji la Dar es salaam.

Msukuma wa darasa la Saba anafanya vizuri sana kuliko Mbunge wangu mwenye PHD
 
Sijaona miundombinu ya tram?
hii ni UK lakini ya umeme ziko katikati ya dual carriage way kama vile Morogoro road
1716149791844.png

Na hapa ni Mwendokasi Morogoro road nadhani
1716149888149.png

Kuna cha zaidi ya kutandika reli na kuweka trams za diesel kama hii hapa chini ndani ya Deutschland

1716150264271.png
 
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa,

Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa UDART ndani ya miezi Saba.

Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP Bwana David Kafulila amesema ndani ya muda mfupi ujao watakuwa tayari wamekamilisha mkataba baina ya DART na Mbia ili kuhakikisha Wananchi wa Dar es Salaam hawapati adha ya usafiri na Usafirishaji.

Kafulila amesema, Mbia huyo wa UDART atanunua Mabasi yeye mwenyewe na atayaendesha kwa Ubia na Serikali katika kipindi Cha mkataba na hivyo kuifanya gharama ya usafiri kuwa nafuu Kwa wananchi na wakazi wa Jiji la Dar es salaam.

Kafulila amesema kuwa 40% tu ya wafanyakazi waishio Dar es salaam ndio wanakwenda kazini kwa miguu ( working distance).

Hivyo zaidi 60% wanafanya kazi sehemu ambazo wanalazimika kulipa nauli kila siku ili kwenda kazini na kurudi nyumbani.

Nia ya Serikali ikiwa ni kutoa unafuu wa gharama za Usafiri na usafirishaji Kwa Wananchi hasa wakazi wa Jiji la Dar es salaam.

Naipongeza sana Serikali kwa hili ila muda uzingatiwe
 
Chawa Pro Max Kafulila
 
expand...
Nadhani harakisheni hili.

Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa,

Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa UDART ndani ya miezi Saba.

Mkurugenzi wa Ubia nchini PPP Bwana David Kafulila amesema ndani ya muda mfupi ujao watakuwa tayari wamekamilisha mkataba baina ya DART na Mbia ili kuhakikisha Wananchi wa Dar es Salaam hawapati adha ya usafiri na Usafirishaji.

Kafulila amesema, Mbia huyo wa UDART atanunua Mabasi yeye mwenyewe na atayaendesha kwa Ubia na Serikali katika kipindi Cha mkataba na hivyo kuifanya gharama ya usafiri kuwa nafuu Kwa wananchi na wakazi wa Jiji la Dar es salaam.

Kafulila amesema kuwa 40% tu ya wafanyakazi waishio Dar es salaam ndio wanakwenda kazini kwa miguu ( working distance).

Hivyo zaidi 60% wanafanya kazi sehemu ambazo wanalazimika kulipa nauli kila siku ili kwenda kazini na kurudi nyumbani.

Nia ya Serikali ikiwa ni kutoa unafuu wa gharama za Usafiri na usafirishaji Kwa Wananchi hasa wakazi wa Jiji la Dar es salaam.

Hongera sana
 
Back
Top Bottom