Small letter
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 216
- 151
Hongera sana Rais SamiaView attachment 2991403
Habari JF,
Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania unadorola.!!
Hii ni bad luck kwao kwani wakati wote na popote namba daima huwa hazidanganyi na zinanguvu zaidi ya porojo na uzushi hasa wa wale wasiolitakia mema Taifa hili ambao wako tayari hata kuiuza nchi kwa wazungu wanaowapa mabilioni na kuwalelea familia zao.
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka Shirika la Fedha na Uchumi Duniani yaani IMF,
=========
Katika ukurasa wake wa twitter(X) Mkurugenzi wa PPP nchini Tanzania Bw David Zacharia Kafulila ameandika haya kwa ufupi,
Kwaniaba yangu naomba kumpongeza sana Kafulila Kwa kuendelea kuyasema mazuri ya Serikali ya awamu ya sita bila kujali majina anayoitwa mara Chawa, mara kiroboto et Al.
View attachment 2991401