Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.

Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.

Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa

Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?

Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini

Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.

View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Hakuna askofu mkuu wa katoliki Tanzania soma ujifunze na kuelimika.
 
Wewe mjinga sana. Kanisa katoliki hakunaga askofu mkuu wa nchi. Kila jimbo lina mkuu wake, na huyo ni hapo Tabora tu sio mkuu wa Tanzania. Muwe mnauliza basi hierarchy ya kanisa!!! Huyo hawezi na hana uwezo wa kulisemea kanisa kama mkubwa. Kuna mapadri makardinali kwa taarifa yako. Watu wengi hawalijui kanisa katoliki. Ila wanahisi wanalijua, kuna misconceptions nyingi sana hasahasa kutoka kwa wanasiasa na wanahabari.
Nina uhakika Samia anadhani huyo ndio mkuu wa kanisa Tanzania 😂 ni aibu kuwa wengi wapo ignorant , mpaka wengine wakadhani eti atakaa Dar. Shida ni pale Pengo alikuwa anapenda kuongea na media na media zinapenda kuongea na Pengo wakadhani ana authority kuliko wengine kumbe mwisho wake ulikuwa jimbo kuu la Dar es Salaam.
Huyo kardinali mwisho wake wa madaraka ni hapo jimbo la Tabora. Sisi wakatoliki wakati wa misa tuna sala ya waumini ambayo tunaanza kwa Papa then askofu wa jimbo husika, kwahiyo Dar au Moro au Arusha hawatamtaja Rugambwa! Why? Sababu ni askofu wa jimbo la Tabora. Ukardinali ni more ceremonial tu sio authoritative. Chukueni hiyo.
Kwanza hajawa Askofu mkuu wa jambo kuu Tabora rasmi.
 
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.

Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.

Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa

Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?

Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini

Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.

View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Rugambwa si Askofu Mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania.umekurupuka
 
Huu ni upotoshaji mkubwa!

Msiwe mnaandika mambo msiyo na uelewa nayo. HAKUNA ASKOFU MKUU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA. Hicho cheo labda kama umekitengeneza wewe.

Kadinali Rugambwa ni kadinali, wala siyo Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora. Majimbo makuu kwa Tanzania yapo 7: Jimbo kuu la Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha, Songea, Dodoma na Tabora.

Maaskofu wote wapo chini ya TEC, ambayo kiongozi wake huchaguliwa na maaskofu wote, yaani majimbi makuu na ya kawaida.

Rugambwa, zaidi ya kuwa Askofu, ni kadinali, nafasi ambayo kimsingi inampa haki ya kumchagua Papa, kule Vatikani lakini hana maamuzi yoyote juu ya maaskofu wenzake.
 
Mimi ndo huyo mama wa pili kwenye bench toka Julia🤣🤣
 
Attachments

  • Screenshot_20231018-202456_1.jpg
    Screenshot_20231018-202456_1.jpg
    48.5 KB · Views: 3
Askofu Mkuu wa Kanisa katoliki nchini Tanzania, Kadinali Protase Rugambwa amekutana na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Tabora ikiwa ni mara ya kwanza tangu kuapishwa kwake.

Mara baada ya kuwasili Kadinali Rugambwa alimuombea Rais Samia sala maalum kumtakia heri katika uongozi wake.

Tabora ni nyumbani! Karibu sana Mama wa Taifa

Wale wanaosema Mama ana shida na TEC bado mko na msimamo wenu au?

Mwezi huu itakuja habari ambayo wengi wenu hamtoipenda, habari hiyo itakuja kabla ya maandamao yetu ya mchongo ya akina Mwabukusi. #MamaYukoKazini

Rais Samia Suluhu chuma hiki kimeaga kwao Kizimkazi.

View attachment 2785654
View attachment 2785655
View attachment 2785656
View attachment 2785657
View attachment 2785658
View attachment 2785659
Kukutana naye haimaanishi msimamo wao zidi ya dipi wedi umebadilika,
aidha ni yeye ndio kabadili msimamo au anajaribu kufanya robbing akifikiri hao
Ni kama sheikh ubwabwa, alianza na mil100 sasa ameibukia kwa rugambwa.
 
Back
Top Bottom