OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,338
Imeingia kwenye mashindano kwa mujibu wa kanuniVipi Seringeti boys
Imeingia kwenye mashindano kwa mujibu wa kanuniVipi Seringeti boys
Lakini mkuu mbona nyie mchezaji wenu alichagua mechi ya kucheza haukulalamika?
Kama ni kweli itakuwa kama ilivyokuwa kwa Simba mchezaji anachagua mechi ya kukosa hivyo hachezi mechi ijayo SIMBA ilikuwa lazima ife kwanza.
Huu ni upotoshaji.yeye kacheza zote tatu mfululizo kuchagua maana yake unaruka mechi
Nadhani sasa watajua madhara ya kubadili kanuni ovyo kwa ajili manufaa binafsi ya ushindi wa mezani. Simba itawagharibu figisu ile inawarudia tena inakuja kula kwao awamu hii.Itakua na yeye amechagua mchezo upi asicheze kama bwana yule wa Simba kipindi kile.
Mkuu Aden rage alisemaje kuhusu wanachama wa Simba? Yule mzee alikuwa muoneaji lakini mengine alikuwa mkweli.Halafu acheni kutudanganya toka december 17 2016 mpaka sasa Kagera sugar ameshacheza mechi kumi. Na hiyo mechi na Mbeya city zilipita mechi nyingine tatu ndipo akaja kucheza na African Lyon. Mleta mada usitake tuamini kwamba Aden Rage alikuwa sahii kuhusu wanachama wa Simba.
avatar yakoWataaibika hawa mikia katika kadi hizo tatu moja ni ya mchezo wa kombe la FA haingiliani na VPL sasa tafuteni sababu nyingine, nyie kushiriki kimataifa mpaka sisi tuamue nyambafu wamatopeni
Rejea mechi ya simba na kagera stars simba kupokwa point 3 kwa kumchezesha musa hassan mgosi na ubingwa kwenda yanga kwa tofauti ya point mojaaMmeshindwa kucheza uwanjani mmeamia mezani
yumkini umenza kupenda soka majuzi...................nakukumbuha pia kwamba simba ilipokwa pointi Kaitba za Musa Mgosi kwa kadi tatu tukikaribia ubingwa...leo zamu yaoHuu ni upotoshaji.
Enzi hizo sheria ya kuchagua mechi ya kukosa ilikuwepo?yumkini umenza kupenda soka majuzi...................nakukumbuha pia kwamba simba ilipokwa pointi Kaitba za Musa Mgosi kwa kadi tatu tukikaribia ubingwa...leo zamu yao
kwa hyo mmefungwa na fakhi?asingekuwepo mngeshinda?achane ujinga!Ndio mlichofikiria nyie na hajji manara?KADI TATU ZA NJANO ALIZOPATA FAKHI MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR
1. Mchezo namba 122 uliopigwa Sokoine tarehe 17 December dhidi ya Mbeya City.
2. Mchezo namba 165 uwanja wa Kaitaba mchezo dhidi ya African Lyon . Ulipigwa tarehe 18 January.
3. Mchezo namba 190 uwanja wa Kaitaba tarehe 4 March , mechi dhidi ya Majimaji.
Mechi hizi ndizo ambazo zimewafanya Simba SC kuikatia rufaa Kagera Sugar kwa kumchezesha mlinzi wao Mohamedi Fakhi katika mechi ya April 2, 2017 Kaitaba ambapo Simba alifungwa goli 2-1.
Kama madai haya yatakuwa kweli kwa ushahidi wa mechi hizo tatu , ina maana Simba watapewa alama tatu za mchezo huo waliopoteza.
Wewe ni mpiga kelele hata kadi hunaYanga tupo tayari kuinunua hii kesi
Hata Serengeti wanatua Gabon kwa maamuzi ya mezani. Haitaki hasira kikubwa taratibu za mchezo zizingatiwe.