Kadhia ya Makonda: Dhana ya bunge halina ‘’meno’’ inakufa kifo cha mende.

Tena nahisi masuala hayo yatahusu katiba ya sasa kwani kuna nguvu ya mtaalamu wa sheria ngazi ya Prof. ameingizwa Bungeni. Si bure itakuwa kuna kazi maalum, wakati maalum utakapofika hivi karibuni.
Wapinzani wanahitaji viongozi wenye ''mboni ya tatu'' katika kukabiliana na CCM.
 
Ni
Kuna methali inayosema, Mwanga mpe mtoo alee. Methali nyingine inasema, Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.

Mpaka sasa inavyoonekana wapinzani hawajalielewa somo la siasa za CCM ndani ya bunge na nje ya bunge.

Kwa muda mrefu, wapinzani waliisumbua sana CCM kwa kutumia dhana ya ufisadi. Kila mara CCM walikuwa wakishambuliwa kuwa ni mafisadi.

Kwa kutumia dhana ya mwanga mpe mtoto alee, CCM walitengeneza mazingira yaliyowafanya wapinzani kumchukua na kumlea mtoto wa CCM ambaye alikuwa ni nembo ya dhana ya ufisadi nchini.

Siku ambayo Lowassa alihamia CHADEMA ilikuwa ni siku ambayo hoja ya ufisadi kutoka upinzani ilikufa kifo cha mende mpaka hata neno ufisadi likaondolewa kwenye makabrasha ya upinzani.

Baadaye iliibuka hoja ya ‘’bunge la sasa halina meno’’ kutoka kwa wapinzani wakafikia mpaka hatua ya kuweka karatasi kuziba midomo yao.

CCM wamehangaika na hoja hii lakini kwa kutumia dhana ya ‘’ndege mjanja hunaswa na tundu bovu’’ wameanza kuiua kwa umakini mkubwa.

Tumeona na kusoma kwenye vyombo vya habari jinsi ambavyo baadhi ya wapinzani wakishangilia kuitwa kwa Makonda anayedaiwa ni ‘’kiongozi aliyekaribu’’ na Rais Magufuli kwenye kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulika na Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili ‘’akasulubiwe’’ baada ya wabunge kutoa azimio la pamoja.

Kwa maana nyingine kimantiki wanatuambia Bunge lina meno kwa sababu limeweza kumuita kiongozi ambaye wapinzani wanadai ni ‘’sauti ya Rais Magufuli’’ ili wamsulubu. Kwa maana nyingine, kuisulubu ‘’sauti ya Rais Magufuli’’ ni kumsulubu Rais Magufuli.

Wapinzani bila kujua wanachofanya ni kuua dhana ya ‘’bunge la sasa halina meno’’ pale ambapo masuala ya msingi kwa taifa yatakapojiri bungeni siku sijazo.

CCM wanafahamu vizuri kuwa mashitaka ya Makonda hayana athari zozote kwake na kwa CCM badala yake yanaifanya CCM na serikali yake kuimarika zaidi katika macho ya Watanzania kuwa bunge lina meno yake. Kusema bunge halina meno ni porojo tu.

Kuna ‘’wajinga’’ wasiojua taratibu na kanuni za bunge wanashangilia wakidhani Makonda atasimama ndani ya ukumbi wa bunge na kuanza kuhojiwa na wabunge. Hawafahamu kuwa mahojiano yatafanyika ndani ya ofisi za kamati yenye wajumbe 15 ambao kati yao kuna wabunge wa CCM 9.

Kikubwa zaidi, mashitaka ya Makonda hayawezi hata kutengeneza hoja ya kikanuni kumshauri Rais Magufuli amfute kazi badala yake, Kamati ya kudumu itatoa onyo/ushauri na biashara itaishia hapo.

Kwa mtu anayeangalia masuala ya kisiasa kwa kutumia 3D thinking atatambua kuwa suala la Makonda linaenda kuimarisha zaidi CCM na serikali yake huku likiwaacha wapinzani hawana hoja mbadala katika siku zijazo.

Politics is a dirty game!
Ni sahihi kabisa!!
 
Hizo kamati za bunge zitasimama zaidi upande wa bunge na kumuhoji Makonda vilivyo au zitasimama upande wa chama zaidi na kumuepusha Makonda (na hivyo Rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama) na aibu ya kuhojiwa kuhusu mhimili mmoja kuingilia mwingine?

Nchi kama Marekani tumeona Jaji Neil Gorsuch aliyeteuliwa na Rais Donald Trump kuwa Jaji wa Supreme Court ya Marekani akitoa kauli za kueleza kutopafikiana na kauli za rais Trump dhidi ya mahakama. Ina maana Jaji huyu ana uhuru kiasi cha kumsema mtu aliyemteua.

Huko Tanzania wabunge wana uhuru wa kusisitiza uhuru wa mhimili wa bunge kikatiba?

Au ndiyo watashindwa kusisitiza hilo na kukaa kichama zaidi na hivyo kufanya bunge likose meno?

Nimeona kuna habari za Mtemi Chenge kafanya vitu vyake sijazifuatilia vizuri.

Between Trump, Magufuli and Makonda just following this three ring circus in the news alone is a fulltime job, and I havethat already, I can't keep up!
 
Kuna methali inayosema, Mwanga mpe mtoo alee. Methali nyingine inasema, Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.

Mpaka sasa inavyoonekana wapinzani hawajalielewa somo la siasa za CCM ndani ya bunge na nje ya bunge.

Kwa muda mrefu, wapinzani waliisumbua sana CCM kwa kutumia dhana ya ufisadi. Kila mara CCM walikuwa wakishambuliwa kuwa ni mafisadi.

Kwa kutumia dhana ya mwanga mpe mtoto alee, CCM walitengeneza mazingira yaliyowafanya wapinzani kumchukua na kumlea mtoto wa CCM ambaye alikuwa ni nembo ya dhana ya ufisadi nchini.

Siku ambayo Lowassa alihamia CHADEMA ilikuwa ni siku ambayo hoja ya ufisadi kutoka upinzani ilikufa kifo cha mende mpaka hata neno ufisadi likaondolewa kwenye makabrasha ya upinzani.

Baadaye iliibuka hoja ya ‘’bunge la sasa halina meno’’ kutoka kwa wapinzani wakafikia mpaka hatua ya kuweka karatasi kuziba midomo yao.

CCM wamehangaika na hoja hii lakini kwa kutumia dhana ya ‘’ndege mjanja hunaswa na tundu bovu’’ wameanza kuiua kwa umakini mkubwa.

Tumeona na kusoma kwenye vyombo vya habari jinsi ambavyo baadhi ya wapinzani wakishangilia kuitwa kwa Makonda anayedaiwa ni ‘’kiongozi aliyekaribu’’ na Rais Magufuli kwenye kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulika na Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili ‘’akasulubiwe’’ baada ya wabunge kutoa azimio la pamoja.

Kwa maana nyingine kimantiki wanatuambia Bunge lina meno kwa sababu limeweza kumuita kiongozi ambaye wapinzani wanadai ni ‘’sauti ya Rais Magufuli’’ ili wamsulubu. Kwa maana nyingine, kuisulubu ‘’sauti ya Rais Magufuli’’ ni kumsulubu Rais Magufuli.

Wapinzani bila kujua wanachofanya ni kuua dhana ya ‘’bunge la sasa halina meno’’ pale ambapo masuala ya msingi kwa taifa yatakapojiri bungeni siku sijazo.

CCM wanafahamu vizuri kuwa mashitaka ya Makonda hayana athari zozote kwake na kwa CCM badala yake yanaifanya CCM na serikali yake kuimarika zaidi katika macho ya Watanzania kuwa bunge lina meno yake. Kusema bunge halina meno ni porojo tu.

Kuna ‘’wajinga’’ wasiojua taratibu na kanuni za bunge wanashangilia wakidhani Makonda atasimama ndani ya ukumbi wa bunge na kuanza kuhojiwa na wabunge. Hawafahamu kuwa mahojiano yatafanyika ndani ya ofisi za kamati yenye wajumbe 15 ambao kati yao kuna wabunge wa CCM 9.

Kikubwa zaidi, mashitaka ya Makonda hayawezi hata kutengeneza hoja ya kikanuni kumshauri Rais Magufuli amfute kazi badala yake, Kamati ya kudumu itatoa onyo/ushauri na biashara itaishia hapo.

Kwa mtu anayeangalia masuala ya kisiasa kwa kutumia 3D thinking atatambua kuwa suala la Makonda linaenda kuimarisha zaidi CCM na serikali yake huku likiwaacha wapinzani hawana hoja mbadala katika siku zijazo.

Politics is a dirty game!
Bado unajadili siasa. Uchaguzi umeisha suburi 2020
 
Tusimame kwenye kweli.
Ni LAZIMA kuwe na separation/mgawanyo wa MAMLAKA/POWERS:
-SERIKALI
-BUNGE na
-MAHAKAMA.

Na KISHERIA kila moja ya hizi INAJITEGEMEA na KUHITAJIANA/Interdependent
BUNGE- LINATUNGA sheria.
MAHAKAMA-INATAFSIRI sheria zilizotungwa na WABUNGE.
SERIKALI- INATEKELEZA kile KILICHOTAFSIRIWA na MAHAKAMA.Yaani ina enforce the Law.
Bunge si serikali na wala Serikali si Bunge nk.

Hii mikono mitatu HUJITEGEMEA na HAKUNA iliyo bora kuliko nyingine.
Kwa ajili ya amani na smooth running of government affairs nchini.
Hizi zote zinahitaji KUHESHIMIANA!
Kwenye makaratasi upo sahihi sana, ila kwenye UHALISIA NI CHAKA
 
Kuna methali inayosema, Mwanga mpe mtoo alee. Methali nyingine inasema, Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu.

Mpaka sasa inavyoonekana wapinzani hawajalielewa somo la siasa za CCM ndani ya bunge na nje ya bunge.

Kwa muda mrefu, wapinzani waliisumbua sana CCM kwa kutumia dhana ya ufisadi. Kila mara CCM walikuwa wakishambuliwa kuwa ni mafisadi.

Kwa kutumia dhana ya mwanga mpe mtoto alee, CCM walitengeneza mazingira yaliyowafanya wapinzani kumchukua na kumlea mtoto wa CCM ambaye alikuwa ni nembo ya dhana ya ufisadi nchini.

Siku ambayo Lowassa alihamia CHADEMA ilikuwa ni siku ambayo hoja ya ufisadi kutoka upinzani ilikufa kifo cha mende mpaka hata neno ufisadi likaondolewa kwenye makabrasha ya upinzani.

Baadaye iliibuka hoja ya ‘’bunge la sasa halina meno’’ kutoka kwa wapinzani wakafikia mpaka hatua ya kuweka karatasi kuziba midomo yao.

CCM wamehangaika na hoja hii lakini kwa kutumia dhana ya ‘’ndege mjanja hunaswa na tundu bovu’’ wameanza kuiua kwa umakini mkubwa.

Tumeona na kusoma kwenye vyombo vya habari jinsi ambavyo baadhi ya wapinzani wakishangilia kuitwa kwa Makonda anayedaiwa ni ‘’kiongozi aliyekaribu’’ na Rais Magufuli kwenye kamati ya kudumu ya Bunge inayoshughulika na Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge ili ‘’akasulubiwe’’ baada ya wabunge kutoa azimio la pamoja.

Kwa maana nyingine kimantiki wanatuambia Bunge lina meno kwa sababu limeweza kumuita kiongozi ambaye wapinzani wanadai ni ‘’sauti ya Rais Magufuli’’ ili wamsulubu. Kwa maana nyingine, kuisulubu ‘’sauti ya Rais Magufuli’’ ni kumsulubu Rais Magufuli.

Wapinzani bila kujua wanachofanya ni kuua dhana ya ‘’bunge la sasa halina meno’’ pale ambapo masuala ya msingi kwa taifa yatakapojiri bungeni siku sijazo.

CCM wanafahamu vizuri kuwa mashitaka ya Makonda hayana athari zozote kwake na kwa CCM badala yake yanaifanya CCM na serikali yake kuimarika zaidi katika macho ya Watanzania kuwa bunge lina meno yake. Kusema bunge halina meno ni porojo tu.

Kuna ‘’wajinga’’ wasiojua taratibu na kanuni za bunge wanashangilia wakidhani Makonda atasimama ndani ya ukumbi wa bunge na kuanza kuhojiwa na wabunge. Hawafahamu kuwa mahojiano yatafanyika ndani ya ofisi za kamati yenye wajumbe 15 ambao kati yao kuna wabunge wa CCM 9.

Kikubwa zaidi, mashitaka ya Makonda hayawezi hata kutengeneza hoja ya kikanuni kumshauri Rais Magufuli amfute kazi badala yake, Kamati ya kudumu itatoa onyo/ushauri na biashara itaishia hapo.

Kwa mtu anayeangalia masuala ya kisiasa kwa kutumia 3D thinking atatambua kuwa suala la Makonda linaenda kuimarisha zaidi CCM na serikali yake huku likiwaacha wapinzani hawana hoja mbadala katika siku zijazo.

Politics is a dirty game!
Umekunywa lubisi ww au umechokonolewa na kijiti
 
Ni kweli, lakini kama nchi tunaweza kujaribuu kujijengea sifa. Kwamba ni nchi yenye kufuata sheria kanuni na taratibu.
Naamini hatujachelewa sana ikiwa NIA ipo!
Kwa serikali hii hata Check & Balance imeshindikana sembuse SOP?
 
Bado unajadili siasa. Uchaguzi umeisha suburi 2020
Nadhani hujui maana ya neno siasa!

Hujui kama hili ni jukwaa la siasa?

Hujui kama siasa ni sehemu ya maisha ya kila siku?

Au unadhani ofisi za vyama vya siasa zimefungwa?

Au unadhani vikao vya vyama vya siasa vimesimama mpaka 2020?
 
nje ya mada

kwasasa hakuna tena katiba nchi hii amri inatoka kwa mtu mmoja 2020 usirudie kosa watanzania wamechanganyikiwa maisha hayaendi ndi fujo tu.........................
Nilikuwa namtetea sana magufuli kwa sasa nimebadili uamuzi sitaki tena huwezi kuruhusu hadi mkuu wa mkoa adharirishe watu kiasi hiki tena anashindwa hata kumkemea, nchi inaendeshwa kibabe sasa hatutaki ngoja 2020 tutaonana kwenye sanduku
 
Nadhani hujui maana ya neno siasa!

Hujui kama hili ni jukwaa la siasa?

Hujui kama siasa ni sehemu ya maisha ya kila siku?

Au unadhani ofisi za vyama vya siasa zimefungwa?

Au unadhani vikao vya vyama vya siasa vimesimama mpaka 2020?
Wwww ndo unayejua
 
Back
Top Bottom