Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Anayezungumza kwenye hii video hafanani na yeyote kwenye picha!Abdallah ni yupi kati ya hao?halafu huyo dada ni mzungu au ana albinism?
Anayezungumza kwenye hii video hafanani na yeyote kwenye picha!Abdallah ni yupi kati ya hao?halafu huyo dada ni mzungu au ana albinism?
Abdallah ni yupi kati ya hao?halafu huyo dada ni mzungu au ana albinism?
Hii sasa imezidi haifai hata kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
Huyu jamaa alikuwa amelewa?
Pogba??Nina mashaka na afya ya shetani!!!!
Huenda anatafuta mrithi na Mwigulu Nchemba anaifukuzia nafasi hiyo apate kumrithi.
Faiza huyo jamaa asiposhughulikiwa basi kesi zote za kumkosea mtukufu heshima hazina maana !!Huyo ana mashtaka yake yanamkabili.
Mkuu its a matter of time a man could be arrested. Crime has no politics. I use to trust Hon.Mwigulu. huwa hakurupuki anaweza kuchukuwa muda lakini naamini hatua stahiki zitachukuliwa dhidi ya yeyote atakaenda kinyume na kukiuka taratibu na sharia za nchi.View attachment 450721
- Tumeona mara kadhaa Jeshi la Polisi likikimbilia mbio kuwashika watu wanaotumia mitandao ya kijamii wanaotukana viongozi wa kisiasa wanaotoka kwenye chama tawala, lakini wanapotukanwa viongozi wa Upinzani huwa wanasema hawana Intelenjesia hiyo. Hivi sasa ni wiki tokea mtu mmoja anayeitwa Abdalla Saleh aliporekodiwa anaMtukana kiongozi wa Upinzani Zanzibar, amemtukana matusi ambayo ni kikomo cha matusi na chuki isiyomithilika. Amesema kuwa kiongozi huyo analawitiwa. Bw Abdalla pia amefika kiwango cha kudhalilisha dini na waislamu kwa Ujumla na kusema kuwa Mtume Muhammad Saw alikuwa analawitiwa.
Kuna watu wameshitakiwa kwa kmuita kiongozi wa Chama tawala BWEGE, wapo wenye kesi kwa kutamka kuwa tupambane na DIKTETE UCHWARA, lakini pia wapo waliofikishwa mahakamani na kuyimwa dhamana kwa kuhadithia ndoto zao, na zaidi ya yote wapo waliohijiwa kwa kumuita kiongozi wa chama tawala MTUKUFU.
Bw Abdalla pamoja na kukiri makosa hayo katika video mbili bado bado anatembea kifua mbele.
Ha ha haaaa. Faiza Foxy bwana. Tayari hapo ushaniwekea mtego. Anyway, ni wetu sote kutokana na ukweli kwamba naye alikuwa binadamu kama sisi. Kwa kiwango cha ubinadamu wetu kweli ni wetu sote. Na "uwetu sote" kwa upande wangu unaishia hapoMtume Muhammad ni wetu sote, mbona unajitoa?
Huyu kapituka hata kama huuamini uislam kama mimi vile lkn bado kumtusi prophet Muhammad kiasi kile ni jambo ambalo halikubaliki hata kdgHa ha haaaa. Faiza Foxy bwana. Tayari hapo ushaniwekea mtego. Anyway, ni wetu sote kutokana na ukweli kwamba naye alikuwa binadamu kama sisi. Kwa kiwango cha ubinadamu wetu kweli ni wetu sote. Na "uwetu sote" kwa upande wangu unaishia hapo. Bwana Yesu Kristo Ndiye wetu sote HASA!!!
Nimeingia katika mtego wako kichwa kichwa ama? Lolote liwalo sikubaliani na akisemacho huyu mgonjwa wa akili katika hiyo video.
MUNGU WANGU EEEEE. ....KAZI KWELI KWELI WALAHI
Umeona eeeh?MUNGU WANGU EEEEE. ....KAZI KWELI KWELI WALAHI