Kada wa CCM Arusha Ashikwa Kwa Utapeli

Ina maana alipewa mpaka muda wa kubadilisha shati?
Au ni matukio ya siku tofauti?
 
Habari ya sasa ni diwani wa ccm Arusha kukamatwa kwa utapeli
Issue hapa ni utapeli ndio maana nimeileta au hua nyie mnajadili habari za ccm tu lakini zinazohusu maukawa menzenu hamzitaki?
 
Acheni hizo bana... kwani ukiwa mwaachama wa chama fulani hurusiwi kuwa na kazi zako au maisha yako binafsi? hayo ni ya kwake bana.. si ya CCM na wala hawajamtuma.
 
MY take:
Comments za watu wengi hazina mashiko na mleta uzi hajakamilisha habari kwa usahihi...kama ni kada Je ana cheo chochote CCM ni vizuri kingetajwa...na kama ni mtu wa kawaida basi tuambiwe umaarufu wake wa kuitwa kada, amefanya lipi hasa mpaka kuitwa kada wa CCM....vingenevyo hatuna uhakika na kinachosemwa na mleta uzi...kama jambazi je na mleta uzi anaamua kukichafua chama???....Mleta uzi nyoosha maelezo vizuri vinginevyo hizi ni PUMBAAAAAAAA....!
 
Nafikiri jina langu linawakilisha taaluma yangu siwezi kuleta habari nisizokua na huwakika nazo nikinyume na taluma yangu
 
Issue hapa ni utapeli ndio maana nimeileta au hua nyie mnajadili habari za ccm tu lakini zinazohusu maukawa menzenu hamzitaki?
1461860093862.jpg
1461860110934.jpg
 
Back
Top Bottom